Nkuba ana uwezo wa kuwa kiongozi. Hata akishindwa TLS

Nimefatilia kwa undani sana huu mdahalo wa TLS election candidates, na namfahamu sana nkuba na bwana boniface mwabukusi.

Nkuba ana uwezo wa kuwa kiongozi. Hata akishindwa TLS, huyu bwana tunamuhitaji katika medani ya siasa ya taifa.

Kuna muda hatuhitaji watu harsh tunahitaji watendaji, nchi kama Tanzania si nchi kama inatafuta uhuru, ni nchi inahitaji maendeleo na watu smart. Makosa yapo. Ila sitomuhukumu sweetbert.

He is Far better for Tanzania. ASANTE.

View attachment 3054487
Huyo ni chawa hana u smart wowote zaidi ya uoga wa kutaka Rais amuone ni mwema na mtu muungwana….huyo la chama kigeuzwe chama cha mapinduzi! TLS inatakiwa kuhakikisha watu wanapata haki kwa kuikemea serikali…huyu awezi…..
 
Nimefatilia kwa undani sana huu mdahalo wa TLS election candidates, na namfahamu sana nkuba na bwana boniface mwabukusi.

Nkuba ana uwezo wa kuwa kiongozi. Hata akishindwa TLS, huyu bwana tunamuhitaji katika medani ya siasa ya taifa.

Kuna muda hatuhitaji watu harsh tunahitaji watendaji, nchi kama Tanzania si nchi kama inatafuta uhuru, ni nchi inahitaji maendeleo na watu smart. Makosa yapo. Ila sitomuhukumu sweetbert.

He is Far better for Tanzania. ASANTE.

View attachment 3054487
Naunga Mkono Hoja
 
Pamoja namkubali boniface kama mwanaharakati mzalendo naona angetafuta platform nyingine kufanya siasa. Chama cha sheria tanzania TLS ni chama cha kitaaluma haifai kukitumia kuendesha harakati za kisiasa. Tuliona lissu na baadae fatma karume wakileta fujo na kuhatarisha mstakabali wa TLS.
Fujo gani walizoleta?
 
Mwabukusi haepukiki na kila hila inayofanyika dhidi yake ina dalili zote za kushindwa
 
Watu ambao mmezoea ubabaishaji lazima mpate degedege na mwakubusi.Mwakubusi yuko wazi sio mnafiki au mtu wakujipendekeza ili ale au kukaa kimya uli mambo mengi ya nchi yakiendeshwa kienyeji.Kwamtu yoyote mwenye akili timamu anayelitakia hili taifa maendeleo ya kweli ambayo wajukuu zake watayakuta lazima angemuunga mkono mwakubusi.Huuo nkuba alitakiwa afanye kwanza kwa nafasi alizowahi kuzitumikia ili tujue kweli yuko kwa ajili ya nchi sio manufaa binafsi.
 
Nimefatilia kwa undani sana huu mdahalo wa TLS election candidates, na namfahamu sana nkuba na bwana boniface mwabukusi.

Nkuba ana uwezo wa kuwa kiongozi. Hata akishindwa TLS, huyu bwana tunamuhitaji katika medani ya siasa ya taifa.

Kuna muda hatuhitaji watu harsh tunahitaji watendaji, nchi kama Tanzania si nchi kama inatafuta uhuru, ni nchi inahitaji maendeleo na watu smart. Makosa yapo. Ila sitomuhukumu sweetbert.

He is Far better for Tanzania. ASANTE.

View attachment 3054487
Mmeanza kuwapigia promo Makada wenu wa CCM.kwani yeye ana lipi jipya wakati ccm ni ile ile?yeye kafanya nini kabla ya kuomba nafasi hiyo?Mwabukusi ndio mtetezi wa wananchi na maccm ni majuzi tu ndio maana yanaiba mpaka pensheni za wastaafu
 
Kuwa na akili timamu ni gift tosha Toka kwa Mungu

Hayo mengine kuwa kada wa chama Fulani ni ziada

Tunaishi vizuri kwa amani ingawa siyo ccm
Wewe unaishi "vizuri kwa amani" chini ya CCM?
Unajuwa maana ya amani ni nini hasa! Unapokuwa "MATEKA" unayo amani hapo?

Nilipo soma mchango wako hapo #3 nikadhani unaelewa ulicho andika, kumbe ulijikusanyia maneno tu bila ya kujuwa utaeleweka vipi?
 
Mmeanza kuwapigia promo Makada wenu wa CCM.kwani yeye ana lipi jipya wakati ccm ni ile ile?yeye kafanya nini kabla ya kuomba nafasi hiyo?Mwabukusi ndio mtetezi wa wananchi na maccm ni majuzi tu ndio maana yanaiba mpaka pensheni za wastaafu
Yote sijaongea hayo. Unajua nyie mnafanya uchaguzi kama vita. Hayo ni maoni, hayana maana ndio kura au ushindi...alafu mnaleta uhasama sana wa uchama. Sipendi kweli hili. Hawa ni mawakili sio wanasiasa.
 
Kuna muda hatuhitaji watu harsh tunahitaji watendaji, nchi kama Tanzania si nchi kama inatafuta uhuru, ni nchi inahitaji maendeleo na watu smart. Makosa yapo. Ila sitomuhukumu sweetbert.

He is Far better for Tanzania. ASANTE.
Anakosa sifa muhimu za kiongozi.
He isn't empathetic, credible, honest, sensitive and sincere.
Like other corrupt and insensitive chawas, he belongs to the ccm dustbin!
 
Nimefatilia kwa undani sana huu mdahalo wa TLS election candidates, na namfahamu sana nkuba na bwana boniface mwabukusi.

Nkuba ana uwezo wa kuwa kiongozi. Hata akishindwa TLS, huyu bwana tunamuhitaji katika medani ya siasa ya taifa.

Kuna muda hatuhitaji watu harsh tunahitaji watendaji, nchi kama Tanzania si nchi kama inatafuta uhuru, ni nchi inahitaji maendeleo na watu smart. Makosa yapo. Ila sitomuhukumu sweetbert.

He is Far better for Tanzania. ASANTE.

View attachment 3054487
Tatizo kubwa la Wakili Nkuba ni kujikweza, yaani kujiona maarufu. Yaani siku ile alipoanza kuongea eti kila alikopita amekuwa kiongozi tena kwa kuchaguliwa that was a bogus statement kabisa, watu hawataki kusikia uliwahi kuwa kiongozi watu wanataka kusikia ulifanya nini kwa nafasi yako uwe kiongozi ama la, na Wakili Mwambukusi aliliweka hilo vizuri. So Wakili Nkuba he is a doomed failure kila sehemu kama hatoliona hilo.
 
Nimefatilia kwa undani sana huu mdahalo wa TLS election candidates, na namfahamu sana nkuba na bwana boniface mwabukusi.

Nkuba ana uwezo wa kuwa kiongozi. Hata akishindwa TLS, huyu bwana tunamuhitaji katika medani ya siasa ya taifa.

Kuna muda hatuhitaji watu harsh tunahitaji watendaji, nchi kama Tanzania si nchi kama inatafuta uhuru, ni nchi inahitaji maendeleo na watu smart. Makosa yapo. Ila sitomuhukumu sweetbert.

He is Far better for Tanzania. ASANTE.

View attachment 3054487
Mtu hajawahi kutetea Wananchi mfano huko ngoro ngoro ,n.k unasema anafaa Kwa misingi ipi?

So tunamjua Mwambukusi anayesimamia kesi za Wananchi bila kulipwa.

Huyo kama ni mzuri mpeleke kwako akakuongozee familia Yako na mkeo.

Sisihatumtaki hasta kumsikia.
 
Sawa, Mpeleke kwako akakuongozee familia Yako na keo ,

Sisi Wananchi tunayemjua ni BONIFASI ANYISILE KAJUNJUMELE MWAMBUKUSI mtetezi wa wanyonge.
 
Nimefatilia kwa undani sana huu mdahalo wa TLS election candidates, na namfahamu sana nkuba na bwana boniface mwabukusi.

Nkuba ana uwezo wa kuwa kiongozi. Hata akishindwa TLS, huyu bwana tunamuhitaji katika medani ya siasa ya taifa.

Kuna muda hatuhitaji watu harsh tunahitaji watendaji, nchi kama Tanzania si nchi kama inatafuta uhuru, ni nchi inahitaji maendeleo na watu smart. Makosa yapo. Ila sitomuhukumu sweetbert.

He is Far better for Tanzania. ASANTE.

View attachment 3054487
Laisi wa mioyo ya waliomtaka
 
Pole sana, wamemchagua anayewafaa.!
 
Mtu hajawahi kutetea Wananchi mfano huko ngoro ngoro ,n.k unasema anafaa Kwa misingi ipi?

So tunamjua Mwambukusi anayesimamia kesi za Wananchi bila kulipwa.

Huyo kama ni mzuri mpeleke kwako akakuongozee familia Yako na mkeo.

Sisihatumtaki hasta kumsikia.
Jifunze kusoma, sijaongelea Lazma ashinde bali iwapo hata. Usikurupuke kama upo Instagram hapa.
Next time kwenye majukwaa kama haya, punguza hasira na ukali wamaneno, Na utoe maoni yako, or else tafuta thread zenye fujo. Bila hivo Ntakuchukua wewe na mama yako mje kuongeza familia kwangu.
 
Kulileta tu Hilo jina la nkumba wako huku tayari ni kosa,

Sikutaka hata kulisoma , kama ni mzuri mchukue ukaishi nae.

Sisi mwambukusi kaonesha njia, Katetea kesi za wananchi
 
Back
Top Bottom