Huyu jamaa ameulizwa maswali personal sana na huyu odemba ila aliwez kucontrol vyemNa Mimi nimfuatilia nimeona Yuko vizuri upstairs, ni mtulivu na makini. upinzani mkubwa utakuwa kati ya huyu mwamba na Bonifas Mwabukusi. Wengine kina kabendera na wenzake ni wasindikizaji.
Binafsi Nampa kura Mwabukusi. Siyo kondoo hivyo Ataleta changamoto Kwa serikali na watawala.
Kuwa na akili timamu ni gift tosha Toka kwa Mungu"Si kweli" vipi?
Unapingana na andiko lako hapo juu #3?
baadae mnasingizia wazung kwa akili hzPoint,zama za wapigania uhuru akina Jpm,Makonda,Lissu,Mwambukusi zimepitwa na wakati
Yeyote anaye jihusisha na CCM wakati huu, huyo mtu siyo 'smart' hata kidogoPamoja namkubali boniface kama mwanaharakati mzalendo naona angetafuta platform nyingine kufanya siasa. Chama cha sheria tanzania TLS ni chama cha kitaaluma haifai kukitumia kuendesha harakati za kisiasa. Tuliona lissu na baadae fatma karume wakileta fujo na kuhatarisha mstakabali wa TLS.
unafeli sana mkuuKuwa na akili timamu ni gift tosha Toka kwa Mungu
Hayo mengine kuwa kada wa chama Fulani ni ziada
Tunaishi vizuri kwa amani ingawa siyo ccm
kama wanataka kukumbushwa kwa mifano, ipo mingi sana..., Kabuti Kalamaganda akiwa ni kielelezo sahihi.Tatizo ni CCM huwa wakichaguliwa akili zote zinaisha
Akili yakokuikosoa serikali ni siasa! Pole sana na uzao wako. Basi we wajua kazi ya bunge ni kutunga Sheria TU!Pamoja namkubali boniface kama mwanaharakati mzalendo naona angetafuta platform nyingine kufanya siasa. Chama cha sheria tanzania TLS ni chama cha kitaaluma haifai kukitumia kuendesha harakati za kisiasa. Tuliona lissu na baadae fatma karume wakileta fujo na kuhatarisha mstakabali wa TLS.
Tatizo lake anaitumikia chama ccm hawezi kuwa kiongozi bora Tls ni bora kabendera
Alishindwa kujibu maswali kabisa Siku ile ila kampeni inayoendelea utadhani Jamaa ni malaikaKwa sifa hizi tushajua atakuwa mgombea wa mrengo Gani
Hatufai katika harakati za ukombozi
Wacha aendelee kutetea mfumo
Tukiisha kuikomboa nchi naye atakula matunda
Nami nampa kura MwabukusiNa Mimi nimfuatilia nimeona Yuko vizuri upstairs, ni mtulivu na makini. upinzani mkubwa utakuwa kati ya huyu mwamba na Bonifas Mwabukusi. Wengine kina kabendera na wenzake ni wasindikizaji.
Binafsi Nampa kura Mwabukusi. Siyo kondoo hivyo Ataleta changamoto Kwa serikali na watawala.
Mgombea wa watawalaAlishindwa kujibu maswali kabisa Siku ile ila kampeni inayoendelea utadhani Jamaa ni malaika