Nlitegemea kujiuzulu kwa viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama mpaka sasa.

Nlitegemea kujiuzulu kwa viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama mpaka sasa.

Life2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,387
Reaction score
4,880
Mwenyezi Mungu atusamehe watanganyika,

Nimeshindwa kulala ndugu zangu, najuta sana kwanini nimeangalia hizi video za mauaji ya watanzania wenzetu.

Je kama mimi nashindwa kulala vipi aliyetoa amri ya haya mauaji ya halaiki au aliyeshiriki?

Kama huko walipo wanaamani hakika watakua wasaidizi wa Luficer au ndo malucifer wenyewe.

Kwa kifupi sana nlitegemea mpaka leo kuwe na viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama wawe tiyari wamejiuzulu kwa yale yaliyotokea fail to do that moja kwa moja inaonyesha na wao ni wahusika ya mauaji ya halaiki ya ndugu zetu Watanganyika.

Vyombo vya ulinzi na usalama walikua na uwezo wa kuzuia yaliyotokea kabisa.

Haiwezekani jamaa wanatamba mtaani tu bunduki zao na jezi yao ya Yanga huku wakibadilisha magazini.

Sijui ilikua magazini ya ngapi ile assume kama ilikua ya tano na magazini moja ya Short machine gun 🔫 sina uhakika inakula risasi ngapi ila assume ni 50-100*5= utapata idadi ya mtu mmoja kaua watu wangapi.

Hata nchi za kidikteta Venezuela, Belarus, Russia, maandamano yakitokea sijawahi shuhudia massacre kama hii zaidi ya raia kukamatwa na kuwekwa ndani.

Yaliyotokea Tarehe 29 hayana tofauti na yanayoendelea kutokea Sudan pale Darfur.

Vyombo vya ulinzi na usalama bado mna muda kuweka mambo sawa na sio kuzidi kumwaga petrol ⛽️ kwenye makovu ya watanzania.

Rest in heaven watanganyika wenzetu.
 
Wameshiriki kwa namna moja ama nyingine hilo liko wazi!
 
Accountability 0
Aliwashinda mwinyi, Kujiuzuru alipo kua waziri wa mambo ya ndani
 
Back
Top Bottom