NMB acheni wizi kwa wateja wenu

Wajinga sana , ni wachumia tumbo pumbavu zao yani wanapokaa na kuesbu pesa hawajui watu wamepiga vipi zifisha kwao
 
Mkuu fanya mwamala mmoja pitia app yao utashangaa
Hawa mambwa wa NMMb wamekula 3,500 kwenye 4,500 iliyokuwepo. Sitaweka pesa benki kwa huu upumbavu acha nitumie njia za kijima kuhifadhi hela. Hivi mtu akiweka hela benki haiwatoshi wao kuwakopesha watu wakapata na faida hadi waweke makato ya kiduanzi. Nawaonea huruma sana wafanyakazi wa serikali maana hawana la kufanya. Mambwa nyie Nmmmb
 
Nchi ngum Sana
Mwananchi anawindwa kila kona..kama ngiri porini.

Huku bei ya mafuta juu, kule bei ya nauli usiseme, mara tozo zisizoeleweka za kibenki kama hizi na nyinginezo.
Zote hizo anabebeshwa Mwananchi ambaye kipato chake ni duni na pia setikali imekataa katakata kuongeza 'tumshahara twao', jambo ambalo ni sawa na kuiba nguvu za walalahoi ili kulipa 'mideni' wanayokopa kila uchao.
 
Roho ya kimasikini kabisa hii, hiyo app NMB nao wanalipia au hujui?
 
Nchi hii uhuni mwingi sana ,pole mkuu

Roho ya kimasikini kabisa hii, hiyo app NMB nao wanalipia au hujui?
Pumbavu
 
Wanalipa wanaitumia wao au sisi wateja wao. Manina usitetee wizi
Kuna mijitu jinga sana, NMB ipo na wateja wangapi? Ukizingatia 90% ya mishaara ya watumishi upitia kwao, hivi mb watu wanatumia kutoa pesa ni kiasi gani achana na mb za kupakua app yao

Alafu mjinga mmoja anakuja na hoja za kipumbavu hapa , uzuri umemjibu vizuri kadri ya upumbavu wake
 
Hawa wangese walipita mtaani wanafungulia watu akaunti. Nikawaambia katika kitu sipendi ni makato ya kingese wakasema wana makato ya 800 kw mwezi tu. Fine nikawaambia nifungulieni ya machinga mpunga ninao wa kutosha nitaweka. Nikaweka liten ndo walitaka. Nimeshangaa sana wametafuna 3500 yangu. Yaani wao wanawaza kukata vihela tu kwani hela zrtu tukiweka si ndo hizo hizo wanakopeshea watu ????.
 
Bhana naona wote munashambulia NMB Tanzania ila msisahau kuna hawa jamaa pia CRDB nilituma elf 12 kwenda mitandao ya cm nikakatwa 3000 halaf sasa nashangaa pesa yangu kwenye acount inapungua tu na wakati wakala ananifungulia acount aliniambia al baraka haina makato, napiga huduma kwa wateja simu haipokelewi , halaf ile huduma kwa wateja sio bure eti kupiga namba yako kama ilivyo mitandao ya simu, nikawafata mtandaoni wananiambia Ooh makato yapo kwa mwezi 2000 duh! 😔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…