Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaHow?
Wakati mimi nina watu wako crdb na wanatumia nhif?
Mambo ya ajabu sanaWanataka uka verify wapi Kwa wakili?, wakili yeye ana system ya kuhakiki taarifa Zako?.
Inatakiwa mashirika na taasisi zote za serikali zizomane,
Maana ilitakiwa hicho Cheti cha mtoto akiscan hiyo 👆 serials number,ili zimletee taarifa za Cheti husika,
AU Wao wanajua serial numbers ni urembo Tu,
Tz 🇹🇿 bado tunaishi miaka 100 iliyopita, ndio maana CCM haitaki kuondoka madarakani Kwa wizi wanaofanya kupitia mianya iliyowekwa na Nyerere