Wanataka uka verify wapi Kwa wakili?, wakili yeye ana system ya kuhakiki taarifa Zako?.
Inatakiwa mashirika na taasisi zote za serikali zizomane,
Maana ilitakiwa hicho Cheti cha mtoto akiscan hiyo 👆 serials number,ili zimletee taarifa za Cheti husika,
AU Wao wanajua serial numbers ni urembo Tu,
Tz 🇹🇿 bado tunaishi miaka 100 iliyopita, ndio maana CCM haitaki kuondoka madarakani Kwa wizi wanaofanya kupitia mianya iliyowekwa na Nyerere