ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Humu kumekuwepo na malalamiko mengi juu ya hii benki ,hasa ya watu kutolewa pesa zao kwenye account zao kwenye mazingira yasiyo eleweka.
Hatiyame na mm yame nikuta,tarehe 22 niliweka kiasi cha sh5,805,000 kwenye account yangu tarehe 25 nikafanya muamala kwa kutoa sh 5,000,000.
Sasa leo ninaenda kufanya mualama wa kutoa hela iliyo baki muamala ukawa unagoma naambiwa salio halitoshi, nikaamuwa kuangalia salio ,nilibaki nimeduwaa baada ya kukuta sh 688000 tu yaani laki moja na ushenzi haipo.
Ngoja kesho niwakute kwenye hizo ofisi zao waniambie laki 1 imeenda wapi, yaani hawa jamaa sijui wanatuchukuliaje hali ilivyo ngumu mtaani alafu watu wanaleta undina kwenye hela za watu.
Jamani wahusika wa NMB kama mpo humu njooni mtoe ufafanuzi wa hiki kinacho endelea.