Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oma bank statement utajua hela imeenda wapi then utawaulizaHumu kumekuwepo na malalamiko mengi juu ya hii benki ,hasa ya watu kutolewa pesa zao kwenye account zao kwenye mazingira yasiyo eleweka.
Hatiyame na mm yame nikuta,tarehe 22 niliweka kiasi cha sh5,805,000 kwenye account yangu tarehe 25 nikafanya muamala kwa kutoa sh 5,000,000.
Sasa leo ninaenda kufanya mualama wa kutoa hela iliyo baki muamala ukawa unagoma naambiwa salio halitoshi, nikaamuwa kuangalia salio ,nilibaki nimeduwaa baada ya kukuta sh 688000 tu yaani laki moja na ushenzi haipo.
Ngoja kesho niwakute kwenye hizo ofisi zao waniambie laki 1 imeenda wapi, yaani hawa jamaa sijui wanatuchukuliaje hali ilivyo ngumu mtaani alafu watu wanaleta undina kwenye hela za watu.
Jamani wahusika wa NMB kama mpo humu njooni mtoe ufafanuzi wa hiki kinacho endelea.
Kakomae nao kuna jamaa yangu yalimkuta hilo, amefuatilia wakagundua kuna mtu wa ndani ya bank alihusika, wamesema watarudisha hela hata hivyo jamaa amemtumia wakili kuwashitaki, hilo lipo sanaHumu kumekuwepo na malalamiko mengi juu ya hii benki ,hasa ya watu kutolewa pesa zao kwenye account zao kwenye mazingira yasiyo eleweka.
Hatiyame na mm yame nikuta,tarehe 22 niliweka kiasi cha sh5,805,000 kwenye account yangu tarehe 25 nikafanya muamala kwa kutoa sh 5,000,000.
Sasa leo ninaenda kufanya mualama wa kutoa hela iliyo baki muamala ukawa unagoma naambiwa salio halitoshi, nikaamuwa kuangalia salio ,nilibaki nimeduwaa baada ya kukuta sh 688000 tu yaani laki moja na ushenzi haipo.
Ngoja kesho niwakute kwenye hizo ofisi zao waniambie laki 1 imeenda wapi, yaani hawa jamaa sijui wanatuchukuliaje hali ilivyo ngumu mtaani alafu watu wanaleta undina kwenye hela za watu.
Jamani wahusika wa NMB kama mpo humu njooni mtoe ufafanuzi wa hiki kinacho endelea.
Akauti yangu ni ya akiba na ninaitumia tangu mwaka 2017 na hiyo hela nimeiweka haijamaliza hata wiki nikafanya muamala wa kuitoa ndo nakutana na huu upuuzi.Mkuu,
Kwanza hujaeleza akaunti yako ni ya aina gani. Na una muda gani tangu unaitumia.
Zipo akaunti ambazo ni premium au corporate, kiwango cha chini kuwepo kwenye akaunti ni 150k au 100k. Hicho kiasi hakitoki na wala ukiangalia salio hukioni. CRDB watakuambia kiasi halisi 1,250,000. Kisha watakuambua kiasi kilochopo 1,100,000.
Lakini pia,kuna makato ya kila mwezi na mwaka. Makato hutegemea akaunti moja na nyingine.
Hawa jamaa ni wapuuzi sana sijui wanadhani hela tunaziokota?Kakomae nao kuna jamaa yangu yalimkuta hilo, amefuatilia wakagundua kuna mtu wa ndani ya bank alihusika, wamesema watarudisha hela hata hivyo jamaa amemtumia wakili kuwashitaki, hilo lipo sana
Hawaweki salio.Mbona NMB, CRDB wanatuma mesaage kwenye Namba uliyosajilia unapofanya muamala wowote ule
Sasa una haja gani ya kuendelea kuwatusi kwa kebehi kabla hujaenda kupata kilichojiri? Mwisho wa siku utajikuta wewe ndie mjinga kwa lawama zako.Hawa jamaa ni wapuuzi sana sijui wanadhani hela tunaziokota?
NMB TanzaniaHumu kumekuwepo na malalamiko mengi juu ya hii benki ,hasa ya watu kutolewa pesa zao kwenye account zao kwenye mazingira yasiyo eleweka.
Hatiyame na mm yame nikuta,tarehe 22 niliweka kiasi cha sh5,805,000 kwenye account yangu tarehe 25 nikafanya muamala kwa kutoa sh 5,000,000.
Sasa leo ninaenda kufanya mualama wa kutoa hela iliyo baki muamala ukawa unagoma naambiwa salio halitoshi, nikaamuwa kuangalia salio ,nilibaki nimeduwaa baada ya kukuta sh 688000 tu yaani laki moja na ushenzi haipo.
Ngoja kesho niwakute kwenye hizo ofisi zao waniambie laki 1 imeenda wapi, yaani hawa jamaa sijui wanatuchukuliaje hali ilivyo ngumu mtaani alafu watu wanaleta undina kwenye hela za watu.
Jamani wahusika wa NMB kama mpo humu njooni mtoe ufafanuzi wa hiki kinacho endelea.
amana ipoje mkuu nataka nifungue account hiyo bank..?Sheikh wenzio tunaweka pesa Amana Islamic bank mambo ni bull bull, unatuma na kupokea pesa kutoka Palestine
Angalia kama umejiunga nayo. Huenda pesa yako imeseviwa hukoMm sijawahi kujiunga na huduma ya aina hiyo labda kama waliniunga wao wenyewe.
Malalamiko juu ya NMB yamekuwa mengi sana juu ya tabia hii hata humu jf member kibao wamekuwa wakalalamika juu ya mambo haya.Sasa una haja gani ya kuendelea kuwatusi kwa kebehi kabla hujaenda kupata kilichojiri? Mwisho wa siku utajikuta wewe ndie mjinga kwa lawama zako.