NMB Direct Sales Staff Aptitude Test

NMB Direct Sales Staff Aptitude Test

Trojan Hors

Member
Joined
Nov 13, 2023
Posts
24
Reaction score
5
Wakuu, habarini za muda huu na poleni kwa mihangaiko na shughuli mbalimbali. Nina maswali kadhaa kuhusu procedure za ajira NMB Bank upande wa Direct Sales Staff.

1. Maswali common yanayoulizwa kwenye aptitude test ni yapi?

2. Je ukifanikiwa kupita kwenye aptitude test inachukua muda gani kuitwa kwenye Oral Interview?
Naomba msaada wenu wakuu.
 
Wakuu, habarini za muda huu na poleni kwa mihangaiko na shughuli mbalimbali. Nina maswali kadhaa kuhusu procedure za ajira NMB Bank upande wa Direct Sales Staff...
Habari, umepata muongozo wa Aptitude test maana hata mimi natarajia kufanya kesho
 
Back
Top Bottom