NMB haya makato yenu kwenye mobile app ni makubwa sana na wizi uliovuka mipaka. Ushahidi huu hapa

ussd unapigwa kila ukiangalia salio,voda unapigwa mbele na nyuma,tigo nyuma peke yake nk.

app ukiangalia salio ni bure,kizaa zaa ukitaka kutoa kurusha kwenye simu.ni either utumie pesa fasta(ambayo nayo wameiharibu maana ni cheap)au ukatoe kwa wakala wao ambaye anakwenda sambamba na makato ya ATM.
Tigo nako siku hizi unapigwa kote kote
 
Mkuu umewezaje kulog in kwa app yao maana me kila nkijarib hamna cha maana
App nzito balaa

Me mwendo wa kuchanja tu na ATM nikitoa pesa yangu natembea NAYO sasahivi popote maana nakuwa sina pesa nyingi.

Ni za mafuta labda na matumizi madogo madogo so nikitoa naweka kwenye gari nitakuwa natoa kidogo kidogo

Maisha yamekuwa magumu sana.
 
Siku zote nimekuwa nikitoa hela kwa kutumia application ya NMB Mobile Bank na mara zote hizo sikuwai kuwa makini na masuala ya ada ya makato ambayo inachukuliwa na hawa NMB, mpaka pale nilipoamua niangalie huwa wanachukua shilingi ngapi ndipo niliposhangazwa zaidi.

Nilianza kutoa laki moja na makato yake yakawa elf 5 na 800+.

Ikaja elf 50-1000000 nikaona wanakata elf 4++

Mwisho nikamaliza na elfu moja tu ambapo walinikata mia nane. Embu fikiria kama utatoa elfu moja kwa kutumia app yao ya kwenye simu basi wao watagawana na wewe hela kwa asilimia 90 yaani iliwezekanaje duniani mtu akatoa elfu moja halafu akakatwa mia nane? hata kama una hela kiasi gani huu ujinga hauwezi kukubaliana nao.

Haya ni makato makubwa zaidi duniani kuwahi kufanywa na benki moja kwa wateja wake.

Ni vyema na ni haki kwa kila Mtanzania mwenye akili timamu akaachana na huu upuuzi wa kukatwa almost asilimia 90 ya fedha anazozitoa hadi asilimia 6 ya kiasi kikubwa, so hizi mobile app za NMB tuzitumie kuangalizia tu salio.

Anayelalamikia dhuluma hizi ni tajiri, hivyo isihusishwe na hila zozote kupoteza lengo.
[emoji848][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] tajiri
 
Mkuu sio NMB ,benk zote na mitandao yote ni matatizo matupu ,Juzi nilikuwa na pesa kwenye Airtel Money ilibidi niihamishe kwenda CRDB aisee nusu nilie maana walichukua kiasi kikubwa sana.Pia hizi Mobile MasterCard ndio usiseme hamna cha Mpesa wala Airtel MasterCard wote makato nimakubwa sana.
 
Makato unapotoa pesa ambazo umeweka kwenye Bank kwa kutumia Apps au kwa njia ya mtandao ni wizi. Hili swala linabarikiwa na serikali/viongozi waliopo madarakani. Huu ni uonevu na unyonyaji kwa sababu it dos not cost a Bank anything, if there is a cost can they prove it?
 
Well said. Na ndio maana haya mabenki yanajipendekeza kwa kujifanya sponsa wa matukio yanayahusu viongozi. Pure institutional corruption
 
Pia kwann watoze vocha ya sh 100 kwenye kuuliza salio
 
Bora wewe. Kuna bank nilitoa 3000 kwa wakala wakanikata 2800. Uzuri wa hiyo bank ukishatoa, wanakutumia na msg ya makato hapohapo.
Ila ninachoipendea hawana makato ya mwisho wa mwezi.
 
yaani mshahara unakatwa kodi ( PAYE) na ukienda bank ku u-draw mshahara unakutana na makato ya kodi tena (VAT) ya ku draw mshahara, sijui kwa nini wanatukata kodi mara mbili??? na vyama vyetu vya wafanyakazi imelala tuuu
VYAMA VYA WAFANYAKAZI HUKO KUNA MAJAMBAZI YASIYOTUMIA SILAHA NA MCHWA WANAOMTAFUNA MFANYAKAZI KILA KONA....unatarajia waseme nini?/wamsaidie nani?....
 
Back
Top Bottom