NMB kupata faida inayovunja rekodi zote ya TZS 775 bilioni ni matokeo ya Sera chanya na rafiki za kibiashara za Rais Dkt Samia Suluhu Hassan

Kuna faida ndio atukatai

Hila kama msingi wenyewe wa faida ni monopoly ya kupokea mishahara halafu kukopesha hao watu at rates ambazo unchallenged na wafanyakazi hawana option ya ku-shop around for better deals on the banking market. Sasa hapo unapongeza nini.

Serikali uweke hela ununue bond zao, uvune interest kama sehemu ya faida unapongeza nini, au hela hizo hizo uwakopeshe short term loans with high interest unasifia nini.

Info zote hizo zipo kwenye ‘income statement’ yao na break down ya hizo income sources on notes.

Hakuna ubunifu wowote kuna market monopoly tu inayowapa faida na government savings za kuzungusha. Na faida yao aina impact kubwa kwenye kukuza uzalishaji wa sector binafsi.

Sasa mtu ana hitimisha vipi uchumi umekuwa kutokana na faida za MNB hawa ndio watu wanaomuongopea raisi kwa maslahi yao.
Mikopo sio jambo la kulazimishwa ila ni hiari so tusilalamike
 
Bank kupata faida kubwa ni ishara ya ukuaji wa uchumi kuwa ni WA kuridhísha
Wanawapenda kwa sababu amtumii muda kufanya analysis ya biashara huko CCM kazi yenu kuimba mapambio tu. Otherwise hiyo bank bila ya kufanya biashara na serikali hamna kitu wacha nikupe somo la bure.

CE7EBB81-D9B9-4D83-BA30-21EE4D4A0528.jpeg

Sehemu kubwa ya mapato yao ☝️ni treasury interest (uwekezaji serikalini) na retail banking interest.

Angalia sasa hiyo faida ya retail interest source zake 👇

10A8FF31-E7F9-4887-82DC-4639EE3A045D.jpeg

From the balance asset yao kubwa ni mikopo (loans and advances) hiyo asset ndio ina generate faida kubwa za interet katika income statement yao.

Now break it down hiyo source 👇

30E4512D-3FAC-4983-BA94-5178F6F4D4CA.jpeg

Roughly tsh 3.7 trillion ni mikopo ya wafanyakazi, na roughly tsh 0.26 ni overdraft jumlisha na treasury 1.9; kwa pamoja ni tsh 5.8 trillion.

Hiyo sio mikopo ya kibiashara for the most part ina cover budget shortfall ya matumizi ya wafanyakazi na operation costs za biashara (so ni hela zinazoenda kwenye consumption) katika GDP equation. Hapa ndipo wanapopata faida hizi ni short term loans.

Inayobaki katika assets zao mikopo roughly tsh 2 trillion hiyo ni mikopo ya kibiashara (Investment) kwenye GDP equation hapo ndio uchumi unaongezeka thamani.

Mapato yao mengine ni services charges za kufanya nao banking breakdown 👇

B70B178C-CEC1-4ED8-A4E4-C61EF15C1989.jpeg

Yaani hapo nyingi ni unyonyaji uweke hela bank ukienda kutoa utozwe, au kufanya transactions utozwe hela. Source ya msingi hapo ni credit card fees; karibu zingine zote ulaya wamefuta zaidi ya miaka 20 iliyopita ni baada ya kuonekana na wizi.

Sasa ngoja siku serikali iamue kila mtu achague bank yake na akope anapotaka; faida hapo inashuka si chini ya 70%.

Eti mama ana miakili, ubunifu gani wakati ana monopoly na cashcow wa kumkamua (serikali).

Wakitoka hapo kulinda maslahi yao ya kufanya na biashara wanamuongopea bi tozo uchumi unakuwa kwa faida ambazo hazina uhusiano wowote na mikopo ya uzalishaji. Si hata mimi kwa bank hiyo ambayo sihitaji ubunifu wowote ningeipa faida.
 
Wanawapenda kwa sababu amtumii muda kufanya analysis ya biashara huko CCM kazi yenu kuimba mapambio tu. Otherwise hiyo bank bila ya kufanya biashara na serikali hamna kitu wacha nikupe somo la bure.

View attachment 2890822

Sehemu kubwa ya mapato yao ☝️ni treasury interest (uwekezaji serikalini) na retail banking interest.

Angalia sasa hiyo faida ya retail interest source zake 👇

View attachment 2890826

From the balance asset yao kubwa ni mikopo (loans and advances) hiyo asset ndio ina generate faida kubwa za interet katika income statement yao.

Now break it down hiyo source

View attachment 2890825

Roughly tsh 3.7 trillion ni mikopo ya wafanyakazi, na roughly tsh 2.6 ni overdraft; kwa pamoja ni tsh 4.3 trillion.

Hiyo sio mikopo ya kibiashara for the most part ina cover budget shortfall ya matumizi ya wafanyakazi na operation costs za biashara (so ni hela zinazoenda kwenye consumption) katika GDP equation. Hapa ndipo wanapopata faida hizi ni short term loans.

Inayobaki katika assets zao mikopo roughly tsh 2 trillion hiyo ni mikopo ya kibiashara (Investment) kwenye GDP equation hapo ndio uchumi unaongezeka thamani.

Mapato yao mengine ni services charges za kufanya nao banking breakdown

View attachment 2890832

Kuna kitu hufahamu,

NMB wanakukopesha kwa 16% kwa reducing bases yaani kile unachobaki nacho ndio utakilipia riba,

Kama ingekuwa ni flat rate kama CRDB basi wakekuandikia kuwa riba 9% chunga sana hii kitu,

Hii flat rate kama mtu atakopa TZS 10M leo kwa miaka 7 basi riba yake ya mwezi wa mwisho itakuwa ni riba ya TZS 10M wakati NMB riba ya mwisho ni riba inayokuwa calculated kwa kiasi cha rejesho la mwisho lililosalia,
 
Hii ndio taarifa iliyochapishwa kwenye tovuti ya NMB PLC,

Binafsi imenivutia na haya moja kwa Moja ni matokeo ya Sera Bora na rafiki za Mama yetu Dkt Samia Suluhu Hassan, tunakwenda nae Mpaka 2030.

Hiki ni kiashiria muhimu kinachoonesha kuwa uchumi wa Tanzania unakua kwa kasi sana.
===

Soma taarifa yao hapo chini,

Matokeo ya Kihistoria yenye kugusa maisha ya watu, jamii na uchumi,

Leo, Benki ya NMB tumetangaza matokeo ya kiutendaji ya mwaka 2023, yakionesha kuvunja rekodi kwa mwaka mwingine tena baada ya kupata mafanikio ya kihistoria.

Kati ya mengi, tumeweza:

➡️ Kuongeza Jumla ya mapato ya Benki na kufikia Shilingi Trilioni 1.4 ikiwa ni ongezeko la asilimia 18 mwaka hadi mwaka.

➡️ Uwiano wa gharama za uendeshaji na mapato uliboreshwa zaidi hadi kufikia asilimia 39, wakati uwiano wa mikopo chechefu umeshuka hadi kufikia asilimia 3.2. Takwimu hizi zote ni chini ya ukomo wa kikanuni wa Benki Kuu wa asilimia 55 na asilimia 5 mtawalia.

➡️ Kutokana na ufanisi huu, Faida kabla ya Kodi imeongezeka kwa asilimia 26 hadi Shilingi Bilioni 775 huku Faida baada ya Kodi ikifika Shilingi Bilioni 542 ikiwa ni ongezeko la asilimia 26 kwa mwaka. Hiki ni kiwango kikubwa cha faida na cha kihistoria kwa Benki ya NMB na sekta nzima ya fedha nchini.

➡️ Mizania ya Benki imeendelea kukua na kufikia jumla ya mali ya Shilingi Trilioni 12.2 ikiwa ni ukuaji wa asilimia 19 kwa mwaka.

➡️ Tuliendeleza ajenda ya ujumuishaji wa kifedha kwa kufungua akaunti mpya za wateja zaidi ya milioni 1.2, na kufanya jumla ya akaunti za wateja wetu kufikia zaidi ya akaunti milioni 7.1. Hii ni idadi kubwa zaidi ya wateja kwa taasisi moja ya fedha nchini.

➡️ Tuliwekeza zaidi ya Tsh Bilioni 6 kwenye elimu, afya na mazingira, ikiwa sehemu ya dhamira yetu ya kujitolea kusaidia jamii inayotuzunguka.

Akiwasilisha Taarifa ya Fedha ya Mwaka 2023, Afisa Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ruth Zaipuna amewashukuru wateja wetu, wanahisa, wafanyakazi, washirika wote wa Benki, Serikali kupitia Benki Kuu na Watanzania wote kwa mchango wenu thabiti na imani mliyonayo kwa Benki ya NMB.

Ahsante kwa kuendelea kutuamini.

#NMBKaribuYako
Makato ya maBank ni mengi sana Bank zinapiga faida lukuki kwa kuiba pesa zetu, Shame.
 
Unazungumza kienyeji sana, Benki inaibaje pesa yako?

Makato lazima yawepo kwani ndio gharama za kukutunzia mpunga wako
Wizi wa mchana kweupe, nazungumzia transction fees kwa Banks ni kubwa sana, kuhamisha fedha, kutoa, kuuliza salio, kuomba statement zote ni gharama kubwa halafu mtu anakuja kujisifia huku amepata faida lukuki hawajiulizi wateja wao wamefaidika vipi na ndio chanzo cha watu wengi kukwepa mfumo wa Banks kwa nchi zetu na kukimbilia vibubu.
 
Sasa huo sio wizi ni makubaliano baina yenu mkuu, nasisitiza bank ni NMB tu nielewe
 
Wanawapenda kwa sababu amtumii muda kufanya analysis ya biashara huko CCM kazi yenu kuimba mapambio tu. Otherwise hiyo bank bila ya kufanya biashara na serikali hamna kitu wacha nikupe somo la bure.

View attachment 2890822

Sehemu kubwa ya mapato yao ☝️ni treasury interest (uwekezaji serikalini) na retail banking interest.

Angalia sasa hiyo faida ya retail interest source zake 👇

View attachment 2890826

From the balance asset yao kubwa ni mikopo (loans and advances) hiyo asset ndio ina generate faida kubwa za interet katika income statement yao.

Now break it down hiyo source

View attachment 2890825

Roughly tsh 3.7 trillion ni mikopo ya wafanyakazi, na roughly tsh 2.6 ni overdraft; kwa pamoja ni tsh 4.3 trillion.

Hiyo sio mikopo ya kibiashara for the most part ina cover budget shortfall ya matumizi ya wafanyakazi na operation costs za biashara (so ni hela zinazoenda kwenye consumption) katika GDP equation. Hapa ndipo wanapopata faida hizi ni short term loans.

Inayobaki katika assets zao mikopo roughly tsh 2 trillion hiyo ni mikopo ya kibiashara (Investment) kwenye GDP equation hapo ndio uchumi unaongezeka thamani.

Mapato yao mengine ni services charges za kufanya nao banking breakdown

View attachment 2890832

Yaani hapo nyingi ni unyonyaji uweke hela bank ukienda kutoa utozwe, au kufanya transactions utozwe hela. Source ya msingi hapo ni credit card fees; karibu zingine zote ulaya wamefuta zaidi ya miaka 20 iliyopita ni baada ya kuonekana na wizi.

Sasa ngoja siku serikali iamue kila mtu achague bank yake na akope anapotaka; faida hapo inashuka si chini ya 70%.

Eti mama ana miakili, ubunifu gani wakati ana monopoly na cashcow wa kumkamua (serikali).

Wakitoka hapo kulinda maslahi yao ya kufanya na biashara wanamuongopea bi tozo uchumi unakuwa kwa faida ambazo hazina uhusiano wowote na mikopo ya uzalishaji. Si hata mimi kwa bank hiyo ambayo sihitaji ubunifu wowote ningeipa faida.
Kwa muda mrefu, tunasemaga hiyo nmb inabebwa na serikali na watumishi wa serikali, haipo kwa ajili ya wananchi wa kawaida na biashara za watanzania za uzalishaji wa bidhaa na huduma. Siku serikali ikiacha kufanya kazi na nmb. Ndani ya sekunde chache hiyo benki inafilisika.

NB: Kwa heshima na taadhima, nakuomba. Uandae thread maalum yenye uchambuzi wa kina juu ya jinsi nmb wanavyoipata faida ya mchongo.
 
Kuna kitu hufahamu,

NMB wanakukopesha kwa 16% kwa reducing bases yaani kile unachobaki nacho ndio utakilipia riba,

Kama ingekuwa ni flat rate kama CRDB basi wakekuandikia kuwa riba 9% chunga sana hii kitu,

Hii flat rate kama mtu atakopa TZS 10M leo kwa miaka 7 basi riba yake ya mwezi wa mwisho itakuwa ni riba ya TZS 10M wakati NMB riba ya mwisho ni riba inayokuwa calculated kwa kiasi cha rejesho la mwisho lililosalia,
Tunachoongelea ni source of profit ya bank ambayo ina dependent sana kufanya biashara na serikali na hakuna economic impact kubwa kwenye growth kama mleta mada anavyodai (kwanza mikopo inapunguza purchasing power ya wafanyakazi).

Mikopo karibu yote interest charge is based on reducing rate so hakuna kitu special hapo.. Ukipiga hesabu za reducing rate unalipa zaidi (if, i remember correctly its been a while kufanya hesabu za hire purchase na mortgages).

But that’s beside the point, 16% interest charge is unjustifiable. Unapo set interest ya mikopo cha msingi kujumlisha ‘rate ya faida + inflation risk + default risk’.

Kwa wafanyakazi wa serikali na utaratibu NMB waliojiwekea wa watu kukatwa juu kwa juu kwenye pay slip zao huo mkopo risk aversion yake is as good as a ‘secured loan’ ya mtu anaeweka asset kupata mkopo maana kuna government warranty.

Kwa hivyo 16% is ridiculous ndio maana asset turnover yao inakuwa, faida inakuwa, over half of their asset is tied to government investments (employees loan + treasury bonds) huko ni kutegemea sehemu kubwa ya faida yao kupitia serikali.

Bila ya biashara na serikali, bank aiwezi pata hizo faida wanazoringia.

Wakitoka hapo kulinda ugali wao wanamuongopea ‘bi tozo’ unakuza uchumi wakati sehemu kubwa ya faida ni interest za mikopo ya wafanyakazi wa serikali, interest ya government bonds na services charges za wizi.

Halafu wapambe wanakuja hapa ohoo sijui huyu mama mkurugenzi ana miakili mingi sana. Akili gani wakati bank ina monopoly.

Good Afternoon, muda wa kufanya kazi huku 👋
 
Kwa muda mrefu, tunasemaga hiyo nmb inabebwa na serikali na watumishi wa serikali, haipo kwa ajili ya wananchi wa kawaida na biashara za watanzania za uzalishaji wa bidhaa na huduma. Siku serikali ikiacha kufanya kazi na nmb. Ndani ya sekunde chache hiyo benki inafilisika.

NB: Kwa heshima na taadhima, nakuomba. Uandae thread maalum yenye uchambuzi wa kina juu ya jinsi nmb wanavyoipata faida ya mchongo.
Kabisa sio MNB tu biashara nyingi sana hasa services sector, ujenzi, vyakula, offices supply wamezoea kufanya biashara na serikali.

Ndio ugomvi wao na Magufuli ulipokuwa hili kundi la wafanyabiashara alipokata hii mirija kutaka kuona value for money. Mfano hawa MNB mpaka Magu anashinda uchaguzi 2020 treasury assets (bonds value) zilikuwa kama billion 800, sasa hivi wakitoa statement yao June usishangae ikavuka tsh 2 trillion.

Bado benefits za kupokea mishahara na mikopo hii ni anti-competition practice nchi nyingine ndio maana wana luxury ya kuweka riba kubwa ni wizi mtupu.

Hii nchi anahitajika mtu wa kuvunja hii culture ya biashara nyingi uwepo ni kufanya biashara na serikali tu, wanakosa ubunifu wa kukuza sector binafsi ya uzalishaji.

👋
 
Tunachoongelea ni source of profit ya bank ambayo ina dependent sana kufanya biashara na serikali na hakuna economic impact kubwa kwenye growth kama mleta mada anavyodai.

Mikopo karibu yote interest charge is based on reducing rate so hakuna kitu special hapo., if anything ukipiga hesabu reducing rate unalipa zaidi (if, i remember correctly it been a while kufanya hesabu za hire purchase na mortgages).

But then that’s beside the point 16% interest charge regardless is unjustifiable. Unapo set interest ya mikopo cha msingi ‘rate ya faida + inflation risk + default risk’.

kea wafanyakazi wa serikali na utaratibu NMB waliojiwekea wa watu kukatwa juu kwa juu kwenye pay slip zao huo mkopo risk aversion yake is as good as a ‘secured loan’ ya mtu anaeweka asset kupata mkopo maana kuna government warranty.

Kwa hivyo 16% is ridiculous ndio maana asset turnover yao inakuwa, faida inakuwa, over half of their asset is tied to government loan and so forth na sehemu kubwa ya faida yao. Bila ya serikali biashara hawawezi pata hizo faida wanazoringia.

Wakitoka hapo kulinda ugali wao wanamuongopea ‘bi tozo’ unakuza uchumi wakati sehemu kubwa ya faida ni interest za mikopo ya wafanyakazi wa serikali, interest ya government bonds na services charges za wizi.

Halafu wapambe wanakuja hapa ohoo sijui huyu mama mkurugenzi ana miakili mingi sana. Akili gani wakati bank ina monopoly.

Good Afternoon, muda wa kufanya kazi huku 👋

Kabisa sio MNB tu biashara nyingi sana hasa services sector, ujenzi, vyakula, offices supply wamezoea kufanya biashara na serikali.

Ndio ugomvi wao na Magufuli ulipokuwa hili kundi la wafanyabiashara alipokata hii mirija kutaka kuona value for money. Mfano hawa MNB mpaka Magu anashinda uchaguzi 2020 treasury assets (bonds value) zilikuwa kama billion 800, sasa hivi wakitoa statement yao June usishangae ikavuka tsh 2 trillion.

Bado benefits za kupokea mishahara na mikopo hii ni anti-competition practice nchi nyingine ndio maana wana luxury ya kuweka riba kubwa ni wizi mtupu.

Hii nchi anahitajika mtu wa kuvunja hii culture ya biashara nyingi uwepo ni kufanya biashara na serikali tu, wanakosa ubunifu wa kukuza sector binafsi ya uzalishaji.

👋
Hao ni janja janja tu. Pesa wanaitoa kwa wananchi, kisha wanaipeleka kwenye bonds za serikali, wao kazi yao ni kufanya kazi na serikali 🤣🤣🤣.
Ni sawa na kutoa hela mfuko wa kushoto unapeleka mfuko wa kulia. Benki inatakiwa itumike kuwezesha wananchi ili wazalishe bidhaa na huduma, wakuze biashara na kuongeza ajira bila hivyo hayo matrillioni hayana faida. Bitozo sijui kama anaelewa 🤣🤣. Katika report zao ndio wanaeeka mbwembwe nyingi mno kuhadaa watu. Ila kiuhalisia wao ni janja janja tu. Ndio maana Kausha Damu wapo mitaani, na ukifanya utafiti unaweza kuta kausha damu wametoa mikopo mingi mno na wamesaidia uchumi wa watu kuliko hata benki. Kupata mkopo benki kama wewe sio mtumishi wa umma, masharti ni magumu kuliko mganga wa kienyeji 🤣 na bado unahitaji uwe na asset nyingi, bila kusahau connection 🤣. Ndio maana kausha damu wanazidi kuongezeka.

Screenshot_20240201-173623.png

👆👆👆
Hiyo report ndio inaonesha uhalisia. Hizi zingine ni mbwembwe tu za kudanganya watu 🤣

Yaani katika mikopo walikopesha jumla ni 6.2 T lakini zaidi ya 3.68 T wamepewa mikopo watumishi wa umma. Tena kwa riba kubwa maana yake 58% ya mikopo inaenda kwa watumishi wa umma. Je watumishi wakipata huo mkopo wanafanyia nini? Je wanafanya uzalishaji wa bidhaa na huduma? Au kununua magari ambayo hayazalishi, kula bata, kuhonga mademu 🤣🤣

Ingekuwa ni nchi iliyokuwa serious ilitakiwa hayo matrillioni yaingie kwenye MSE (biashara ndogo ndogo sana), SME (biashara ndogo ndogo na za kati) na Agribusiness (kilimo). Yangeongeza uzalishaji wa bidhaa na huduma.

Hizi hesabu za mchongo wanatumia kudanganya watu wengi, ila uhalisia haupo. Ndio maana kausha damu wanazidi kuongezeka.
 
Hii ndio taarifa iliyochapishwa kwenye tovuti ya NMB PLC,

Binafsi imenivutia na haya moja kwa Moja ni matokeo ya Sera Bora na rafiki za Mama yetu Dkt Samia Suluhu Hassan, tunakwenda nae Mpaka 2030.

Hiki ni kiashiria muhimu kinachoonesha kuwa uchumi wa Tanzania unakua kwa kasi sana.
===

Soma taarifa yao hapo chini,

Matokeo ya Kihistoria yenye kugusa maisha ya watu, jamii na uchumi,

Leo, Benki ya NMB tumetangaza matokeo ya kiutendaji ya mwaka 2023, yakionesha kuvunja rekodi kwa mwaka mwingine tena baada ya kupata mafanikio ya kihistoria.

Kati ya mengi, tumeweza:

➡️ Kuongeza Jumla ya mapato ya Benki na kufikia Shilingi Trilioni 1.4 ikiwa ni ongezeko la asilimia 18 mwaka hadi mwaka.

➡️ Uwiano wa gharama za uendeshaji na mapato uliboreshwa zaidi hadi kufikia asilimia 39, wakati uwiano wa mikopo chechefu umeshuka hadi kufikia asilimia 3.2. Takwimu hizi zote ni chini ya ukomo wa kikanuni wa Benki Kuu wa asilimia 55 na asilimia 5 mtawalia.

➡️ Kutokana na ufanisi huu, Faida kabla ya Kodi imeongezeka kwa asilimia 26 hadi Shilingi Bilioni 775 huku Faida baada ya Kodi ikifika Shilingi Bilioni 542 ikiwa ni ongezeko la asilimia 26 kwa mwaka. Hiki ni kiwango kikubwa cha faida na cha kihistoria kwa Benki ya NMB na sekta nzima ya fedha nchini.

➡️ Mizania ya Benki imeendelea kukua na kufikia jumla ya mali ya Shilingi Trilioni 12.2 ikiwa ni ukuaji wa asilimia 19 kwa mwaka.

➡️ Tuliendeleza ajenda ya ujumuishaji wa kifedha kwa kufungua akaunti mpya za wateja zaidi ya milioni 1.2, na kufanya jumla ya akaunti za wateja wetu kufikia zaidi ya akaunti milioni 7.1. Hii ni idadi kubwa zaidi ya wateja kwa taasisi moja ya fedha nchini.

➡️ Tuliwekeza zaidi ya Tsh Bilioni 6 kwenye elimu, afya na mazingira, ikiwa sehemu ya dhamira yetu ya kujitolea kusaidia jamii inayotuzunguka.

Akiwasilisha Taarifa ya Fedha ya Mwaka 2023, Afisa Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ruth Zaipuna amewashukuru wateja wetu, wanahisa, wafanyakazi, washirika wote wa Benki, Serikali kupitia Benki Kuu na Watanzania wote kwa mchango wenu thabiti na imani mliyonayo kwa Benki ya NMB.

Ahsante kwa kuendelea kutuamini.

#NMBKaribuYako
Sema wana CEO anayejielewa ndo maana pongezi hajazitoa kwa Samia. Kama sera za Samia zingekuwa na mashiko mabenki yote yangepata faida inayovunja rekodi.
 
Back
Top Bottom