NMB mna shida gani!? Watu tunataka kutoa pesa hampatikani online sio kwa mawakala sio kwenye ATM

NMB mna shida gani!? Watu tunataka kutoa pesa hampatikani online sio kwa mawakala sio kwenye ATM

Niwashukuru wana JF hawa jamaa NMB wameachia mtandao sshv unaweza kutoa hela. Msirudie tena madhira kama haya hasa siku za sikukuu. Mnaweza kuvunja ndoa za watu hivi hivi. Au kusababisha ugonvi mkubwa. Siku za sikukuu watu wana hasira sana ukiwauzi kidogo tu. Hasa kwenye mambo ya fedha.
 

Attachments

  • 17041012098563298932959138721582.jpg
    17041012098563298932959138721582.jpg
    501.3 KB · Views: 3
Mkuu, leo itakuwa wamepumzika pamoja na mashine zao.
 
Mkuu katika maisha haya ni lazima uwe na cash ndani la sivyo utaadhirika.
 
Back
Top Bottom