NMB mna shida gani!? Watu tunataka kutoa pesa hampatikani online sio kwa mawakala sio kwenye ATM

Niwashukuru wana JF hawa jamaa NMB wameachia mtandao sshv unaweza kutoa hela. Msirudie tena madhira kama haya hasa siku za sikukuu. Mnaweza kuvunja ndoa za watu hivi hivi. Au kusababisha ugonvi mkubwa. Siku za sikukuu watu wana hasira sana ukiwauzi kidogo tu. Hasa kwenye mambo ya fedha.
 
Nmb shikilieni hapohapo,kwnye tarehe 8/1/2024 Hawa watu watawashukuru kwa pesa zao kugoma kutoka.

Hao ni kina nani juu ya matumizi yetu. Tukiishiwa tunaneda kukopa. Ila wasituhujumu tu
 
Mkuu, leo itakuwa wamepumzika pamoja na mashine zao.
 
Mkuu katika maisha haya ni lazima uwe na cash ndani la sivyo utaadhirika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…