NMB mnahujumu uchumi

NMB mnahujumu uchumi

Private investigator

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2012
Posts
303
Reaction score
287
Ni miezi sasa watumishi wanaotaka kuuza deni kutoka NMB kwenda mabenk mengine wamekuwa wakicheleweshewa balance zao ili tu kusudi wasikope huko kwingine isipokuwa NMB.

Watumishi hawa wana mipango mingi na hiyo mikopo wanayotaka kuichukua, na hivyo wataongeza mzunguko wa pesa mtaani.

Mathalani watu wanataka kujenga, watanunua vifaa, wanataka kununua magati, watalipa kodi na kununua mafuta, wanaotaka kuboresha biashara zao wataajiri na kulipa kodi, wanaotaka kuoa nk. Wapo wanaotaka kuwekeza sehemu mbalimbali.

Shughuli zote hizi zinaleta manufaa kwa uchumi wa nchi. Kwa mbinu hii ambayo yawezekana maafisa mikopo wote NMB wameambiwa ni kuwa wawe wanasingizia mfumo. Ila ukiwa unakopa kwao hakuna tatizo la mfumo, ukiwa unauza deni lao, kuna tatizo la mfumo. Hasa Mwanza branch zote zimeelekezwa hivi.
 
We usinitishe eti maana ni juzi tu nimetoka kufungua account huko..!!!??
 
acha mambo yako mkuu, unaacha benki yetu pendwa ili uende wapi sasa. hao wanakutuliza uache wenge
Binafsi naonaga Nmb ni wawazi kuliko mabenki mengi nchini,hidden costs zao mara nyingi hawazifichi na ni wawazi, huu uwazi wao kwa wateja I think ndo unawagharimu sokoni kwa sehemu Fulani. Wateja wa Tanzania wengi wanapenda kudanganywa na wakishaingia kingi ni kulalamika lalamika tu. in the end Kila choice ya mteja ni lazima iheshimiwe.
 
NMB ni Benki iliyo jidhatiti kuwanyonya na kuwadidimiza watumishi, inalalamikiwa sana hii Benki, ni vyema Gavana Mkuu na timu yake wakafuatilia hii Benki ya NMB .....naeashauri watumishi wahamie CRDB ni mkombozi wao.
 
Duh- Crdb???? hauko serious aisee
 
toka niombe mkopo wao 2018 wakanikaanga miezi 3 bila bila sina hamu nao.
 
Ni miezi sasa watumishi wanaotaka kuuza deni kutoka NMB kwenda mabenk mengine wamekuwa wakicheleweshewa balance zao ili tu kusudi wasikope huko kwingine isipokuwa NMB.

Watumishi hawa wana mipango mingi na hiyo mikopo wanayotaka kuichukua, na hivyo wataongeza mzunguko wa pesa mtaani.

Mathalani watu wanataka kujenga, watanunua vifaa, wanataka kununua magati, watalipa kodi na kununua mafuta, wanaotaka kuboresha biashara zao wataajiri na kulipa kodi, wanaotaka kuoa nk. Wapo wanaotaka kuwekeza sehemu mbalimbali.

Shughuli zote hizi zinaleta manufaa kwa uchumi wa nchi. Kwa mbinu hii ambayo yawezekana maafisa mikopo wote NMB wameambiwa ni kuwa wawe wanasingizia mfumo. Ila ukiwa unakopa kwao hakuna tatizo la mfumo, ukiwa unauza deni lao, kuna tatizo la mfumo. Hasa Mwanza branch zote zimeelekezwa hivi.
Tafuta fedba mahali fanya liquidation, then kakopenkwingine urudishe fedha ya watu
 
Binafsi naonaga Nmb ni wawazi kuliko mabenki mengi nchini,hidden costs zao mara nyingi hawazifichi na ni wawazi, huu uwazi wao kwa wateja I think ndo unawagharimu sokoni kwa sehemu Fulani. Wateja wa Tanzania wengi wanapenda kudanganywa na wakishaingia kingi ni kulalamika lalamika tu. in the end Kila choice ya mteja ni lazima iheshimiwe.
Pamoja na hilo NMB inahudumia watumishi wengi wa serikali, sasa kwa nn wasishushe riba kama inawapensa hao watumishi!! Jamaa wanapigaa sanaa
 
Haya mabenki ni changamoto sana, Mf. CRDB Wameshusha riba to 14% alafu wameongeza hidden costs za mkopo, ni usanii mtupu.
 
Back
Top Bottom