NMB rudisheni huduma ya salary advance

NMB rudisheni huduma ya salary advance

Asilimia kubwa ya wabongo wana chembechembe za wizi ndani yao, si walipaji wa mikopo ni vile tu mifumo inawabana
Mbongo mtu wa fursa sana kwenye hela ndo maana mnawaita wapigaji😁! Yani uki slack tu kidogo imeisha hiyo yeye anaona fursa tayari. Wewe ulitakiwa ukate deni hujakata yeye anafanyaje sasa kama si kuchukua bunda lote.
 
  • Thanks
Reactions: K11
hawa NMB wajinga. nimewalipa pesa yao ya mshiko faster. bwana wee nikawakopa hela tena kwa kuwalipa ndani ya siku28. chaa ajabu pesa nilookopa haijaingia kwenye akaunti. ila badae natumiwa sms kuwa nimerejesha mkopo wangu wote. kisanga sasa nikikopa tena wanasema nimefika kikomo cha kukopwa.
 
NMB, wameondoa huduma ya salary advance bila taarifa yoyote kwa wateja. Tunaomba taarifa itolewe au huduma irudishwe.
Alhamisi iliyopita walinitumia sms kuniambia hiyo huduma ipo, wameiondoa lini
Screenshot_20241224-101406.jpg
 
Hawa nmb wananikera kuniletea matangazo ya mikopo ambayo Mimi siyahitaji.
Utakuwa na hela nzuri ndio maana wanakubembeleza ukope.

Account ambazo hazina hela ya kueleweka, hawatumi hizo sms
 
NMB, wameondoa huduma ya salary advance bila taarifa yoyote kwa wateja. Tunaomba taarifa itolewe au huduma irudishwe.
Watumishi wa umma ndio daraja la utajiri kwa taasisi za fedha. Wakati makundi mengine yanakopa ku - boost miradi na biashara zao, kundi hili linakopa ili kukidhi mahitaji yao ya msingi (matumizi ya kawaida). Hivyo kuwa mpole tu, usiwashurutishe NMB kwa kuwaambia "rudisheni" kamwe hawawezi kuiondoa kienyeji enyeji kwasababu kwao ni chanzo cha mapato tena nadhani hii inawalipa sana kuliko hata mikopo ya muda mrefu. Itakuwa kuna kasoro za kiufundi tu
 
Nje ya Hoja Husika...,

Hivi nini maana ya Huduma ? Na nini Maana ya Wajibu

Moja ni la lazima na lingine mtoa (Service) anaweza akaliweka au kutokuliweka kutokana na faida anayopata yaani huwezi kulazimisha...

Ni hayo tu, kwahio so long as linampatia faida (wateja) atalifanya na kama halina tija kwake sidhani kama unaweza kumlazimisha...
 
hawa NMB wajinga. nimewalipa pesa yao ya mshiko faster. bwana wee nikawakopa hela tena kwa kuwalipa ndani ya siku28. chaa ajabu pesa nilookopa haijaingia kwenye akaunti. ila badae natumiwa sms kuwa nimerejesha mkopo wangu wote. kisanga sasa nikikopa tena wanasema nimefika kikomo cha kukopwa.
Sikilizia
 
Back
Top Bottom