Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani kuna hitilafu tuNMB, wameondoa huduma ya salary advance bila taarifa yoyote kwa wateja. Tunaomba taarifa itolewe au huduma irudishwe.
Mbona bado mkuuNaona kitufe cha salary advance kimeshabonyezwa... wanyonge wenzangu kazi Iendelee
Wale matajir riziki zinatoka kwa Mungu
poleSawaa boss wetu mshukuru Mungu kwa hilo,
Pole ya nini mzeepole
fikraPole ya nini mzee
Fikra zimefanyejee?? Go straight to the point kama mtoto wa kiumefikra
Mm imekubali comrade labda Inaendelea ku-load kwa watu wachache wa chacheMbona bado mkuu
Nimejaribu hivi punde mfumo haufanyikaziMm imekubali comrade labda Inaendelea ku-load kwa watu wachache wa chache
Mbongo mtu wa fursa sana kwenye hela ndo maana mnawaita wapigaji😁! Yani uki slack tu kidogo imeisha hiyo yeye anaona fursa tayari. Wewe ulitakiwa ukate deni hujakata yeye anafanyaje sasa kama si kuchukua bunda lote.Asilimia kubwa ya wabongo wana chembechembe za wizi ndani yao, si walipaji wa mikopo ni vile tu mifumo inawabana
Jaribu man inakubaliMbona bado mkuu
Kama ana uhitaji wa huduma hiyo, aendelee kujaribu inakubali, ingawa anaweza jaribu mara kadhaa ikawa inagomaJaribu man inakubali
Baada ya kujaribu toka jana, hatimaye imekubali muda huu.Kama ana uhitaji wa huduma hiyo, aendelee kujaribu inakubali, ingawa anaweza jaribu mara kadhaa ikawa inagoma
Alhamisi iliyopita walinitumia sms kuniambia hiyo huduma ipo, wameiondoa liniNMB, wameondoa huduma ya salary advance bila taarifa yoyote kwa wateja. Tunaomba taarifa itolewe au huduma irudishwe.
Utakuwa na hela nzuri ndio maana wanakubembeleza ukope.Hawa nmb wananikera kuniletea matangazo ya mikopo ambayo Mimi siyahitaji.
Watumishi wa umma ndio daraja la utajiri kwa taasisi za fedha. Wakati makundi mengine yanakopa ku - boost miradi na biashara zao, kundi hili linakopa ili kukidhi mahitaji yao ya msingi (matumizi ya kawaida). Hivyo kuwa mpole tu, usiwashurutishe NMB kwa kuwaambia "rudisheni" kamwe hawawezi kuiondoa kienyeji enyeji kwasababu kwao ni chanzo cha mapato tena nadhani hii inawalipa sana kuliko hata mikopo ya muda mrefu. Itakuwa kuna kasoro za kiufundi tuNMB, wameondoa huduma ya salary advance bila taarifa yoyote kwa wateja. Tunaomba taarifa itolewe au huduma irudishwe.
Sikiliziahawa NMB wajinga. nimewalipa pesa yao ya mshiko faster. bwana wee nikawakopa hela tena kwa kuwalipa ndani ya siku28. chaa ajabu pesa nilookopa haijaingia kwenye akaunti. ila badae natumiwa sms kuwa nimerejesha mkopo wangu wote. kisanga sasa nikikopa tena wanasema nimefika kikomo cha kukopwa.
Hawa nmb wananikera kuniletea matangazo ya mikopo ambayo Mimi siyahitaji.