NMB Tanga mnakera sana

NMB Tanga mnakera sana

kibori nangai

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
1,430
Reaction score
2,130
Hawa jamnaa ukienda kwa madirisha YAO unakuta madirasha yapo kama mannne hadi Matano lkn linalofanya kazi ni moja tu.

And the gui yuko hapo is like anawashwa anaingia anatolia. Yupo slowly kama funzaa

Shame on you NMB
 
[emoji28][emoji28][emoji28] inasikitisha Ila ni kweli utapishana na wafanyakazi wengi lakini madirishani ni mmoja au wawili

Basi wawe chap ni speed ya kobe alaf foleni ya kutosha
 
Back
Top Bottom