kibori nangai JF-Expert Member Joined Jan 14, 2015 Posts 1,430 Reaction score 2,130 Aug 29, 2022 #1 Hawa jamnaa ukienda kwa madirisha YAO unakuta madirasha yapo kama mannne hadi Matano lkn linalofanya kazi ni moja tu. And the gui yuko hapo is like anawashwa anaingia anatolia. Yupo slowly kama funzaa Shame on you NMB
Hawa jamnaa ukienda kwa madirisha YAO unakuta madirasha yapo kama mannne hadi Matano lkn linalofanya kazi ni moja tu. And the gui yuko hapo is like anawashwa anaingia anatolia. Yupo slowly kama funzaa Shame on you NMB
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 52,160 Reaction score 48,974 Aug 29, 2022 #2 Hii ni nchi nzima
Friday Malafyale JF-Expert Member Joined Jan 18, 2017 Posts 1,811 Reaction score 2,916 Aug 29, 2022 #3 NMB wako hivyo wapumbavu sana unaweza kukaa masaa mawili kwa foleni Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
NMB wako hivyo wapumbavu sana unaweza kukaa masaa mawili kwa foleni Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
KingPower JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 1,115 Reaction score 1,807 Aug 29, 2022 #4 [emoji28][emoji28][emoji28] inasikitisha Ila ni kweli utapishana na wafanyakazi wengi lakini madirishani ni mmoja au wawili Basi wawe chap ni speed ya kobe alaf foleni ya kutosha
[emoji28][emoji28][emoji28] inasikitisha Ila ni kweli utapishana na wafanyakazi wengi lakini madirishani ni mmoja au wawili Basi wawe chap ni speed ya kobe alaf foleni ya kutosha