Shin Lim
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 7,837
- 14,198
Mimi wamenitumoa meseji mara kibao na sijaenda. Kuna ulazima gani wa uhakiki?Hili suala la uhakika hamkujipanga kabla?
Foleni ni ndefu na watoa huduma ni wachache. Umekuwa usumbufu mkubwa.
Jaribuni kutumia teknolojia kurahisisha mambo kama suala la kuwa na wahudumu wa kutosha limewashinda.
Mnakwaza!