NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

Hili suala la uhakika hamkujipanga kabla?
Foleni ni ndefu na watoa huduma ni wachache. Umekuwa usumbufu mkubwa.
Jaribuni kutumia teknolojia kurahisisha mambo kama suala la kuwa na wahudumu wa kutosha limewashinda.

Mnakwaza!
Mimi wamenitumoa meseji mara kibao na sijaenda. Kuna ulazima gani wa uhakiki?
 
Punguzeni meseji mnakera......

Kila siku mnanitumia msg utadhani tunadate

 
NMB huduma zenu boresheni basi maana zimezidi kuwa mbovu,nipo hap Tawi lenu la Kariakoo,madirishani hakuna mateller,watu wamejaa,joto, AC yenyewe ndogo,watumishi wanazurura zurura tu........mnachosha sana.... kwenu mteja ni fala tu,sijui kama tawi hili lina meneja maana ni upuuzi mwingi unaendelea hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…