Alieanzisha uzi keshafukuzwa kazi sasa nani ajibu maswaliHili jukwaa la NMB ila mbona sioni wakijibu maswali ya wadau.
Alieanzisha uzi keshafukuzwa kazi sasa nani ajibu maswali
NMB Tanzania ni janga kama yalivyo majanga mengine. Nilijitoa hili libenki kwa tatizo la kitoto sana. Nashangaa mpk leo wananisumbua na vimeseji vyao wakati niliwakacha nikiwaachia zaidi ya 400K.Wako wapi NMB kujibu maswali humu?