1. Nenda ATM yeyote ya NMB, chomeka kadi yako
2. Bofya chini, kulia
3. Chagua badili namba ya SIMU
4. Ingiza namba mpya ya SIMU unayotaka
5. Ingiza pasword uliyokuwa ukitumia awali ku-access huduma za bank kwenye simu, maliza.
Baada ya hapo utapokea ujumbe kwenye simu yako kuwa umefanikiwa kubadili namba ya NMB Mobile kutoka Mf. 0752XXXXXX kuwa 0683XXXXXX.
Wewe unahisa NMB nini?Good for your services
Wajuzi namba msaada hapa kwenye Klik App wa NMB inasumbua kidogo. Nikitaka kulog in nikiandika namba ya simu na PIN inaishia kuniletea hii notification badala ya kufunguka.
Mwanzo nilijua kwa vile nimebadili namba na kuweka Voda kwenye NMB mobile wakati Internet natumia ya Tigo, Lakini hata nilipojaribu kutumia internet ya Voda bado mambo ni yaleyale.View attachment 1220512
Namba 2 mkuu.Mkuu hiyo voda umeweka laini number ngap katika simu? Number 1 au mbili...
Kama ulifungua na akaunti ya chapchap kuna taarifa zinatakiwa kuongezwa kama mwajiriwa hivo yes ni lazima upeleke barua ya mwajiri na kitambulishoVp kuhusu kuunganishwa na huduma ya advance salary maana nimeenda tawi mojawapo la NMB naambiwa niwe na barua ya mwajiri wangu je ndo taratibu mlizonazo kwa sasa kwa mteja aje na barua ya mwajiri
Hawawezi kuja kujibu, lakini ndo utaratibu wao huo, peleka barua watakuunga chapVp kuhusu kuunganishwa na huduma ya advance salary maana nimeenda tawi mojawapo la NMB naambiwa niwe na barua ya mwajiri wangu je ndo taratibu mlizonazo kwa sasa kwa mteja aje na barua ya mwajiri
Hawa jamaa hawathamini wateja kabisaHii namba yenu 0800002002 inampokeaji kweli???? Nimefanya transfer ya 1M jana kwenda kwenye mpokeaji mwenye namba ya Voda. Nimetembelea ofisini zenu Bank House nimeshauriwa nipige namba hiyo. Whenever am dialing no body receives!!!!. Naishia kusikia matandazo tu then inakata....................