kuduman201036
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 4,058
- 2,175
Mkuu ushauri wa jamaa hapo juu ulikuwa sahihi ila siyo suluhisho la moja kwa moja, nimejaribu ikakubali, baada ya hapo simu ilipozima chaji nikachomeka, nilipowasha na kutaka kutumia hiyo application tatizo likarudi tena.
Sijakuelewa, nazungumzia kadi ya benki.M-pesa nayo umefungiwa?
Niliitumia muda kidogo.Hiyo kadi huwa unaitumia au ni pambo kwako
Nenda hapo kwenye tawi ulilopeleka waambie bado hujapata kadi yakoNiliitumia muda kidogo.
Sawa, nitafanya hivyo.Nenda hapo kwenye tawi ulilopeleka waambie bado hujapata kadi yako
Ndy nakuuliza M-pesa nayo umefungiwa?Sijakuelewa, nazungumzia kadi ya benki.
Hapana inafanya kazi.Ndy nakuuliza M-pesa nayo umefungiwa?
M-pesa umefungiwa au hujafungiwa?Hapana inafanya kazi.
Au unazungumzia mobile banking. Kwamba nawezatumia.?
Sijafungiwa.M-pesa umefungiwa au hujafungiwa?
Sawa.Sijafungiwa.
Duh!Sawa.
πππKama siku zote maisha yanasonga sasa wewe tatizo ni nini?
Inaonekana hata umateumate hauna ktk akaunti.
Sent using iphone pro max