markbusega
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 826
- 848
Mmmh 10,000 Umetoa kiwango gani?
Sio fedha nyingi laki mbili tu (Sh 200,000)Mmmh 10,000 Umetoa kiwango gani?
Equity wako vizuri sanaKwa mtu ulie mji mkubwa wenye bank nyingi..
Kutumia crdb na nmb ni ujinga.. maana wana makato ya ajabu mengi sana.. benki sahihi ni equity bank ama bank zingine za kigeni
Hivi nani aliletaga huu uongo kwamba ukiomba risiti kuna gharama?10000/= serious?
Aisee kama niivo nimepigwa sna[emoji28][emoji28]
Yaani mimi lazima niombe risiti nikienda ATM!
Mkuu unaweza kukuta 1000 umeangalia vbya!
Ngoja na Mimi nilifanyie kazi
Mimi mwenyewe nimegoma kuamini kabisa mkuuHuu ni uzushi tu, au ugeni wa huduma za kibenki, wewe ni wa kupuuzwa tu.
Kwa mtu ulie mji mkubwa wenye bank nyingi..
Kutumia crdb na nmb ni ujinga.. maana wana makato ya ajabu mengi sana.. benki sahihi ni equity bank ama bank zingine za kigeni
Yani kutoa laki 2 reciept ni 10000?sio fedha nyingi laki mbili tu (Sh 200,000)
Mmmh vile naogopaga kutoa hela kwa hawa ma wakala bank na kukimbilia ATM kumbe napo ni tatzo