kiboboso
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 9,323
- 12,594
Inaonekana hujawahi kutumia ATM wwHiyo ni ada ya risiti au stetement,sijakuelewa vizuri,unaombaje risiti kwenye ATM wakati ukitoa hela risiti huwa inatoka automatic hela zikisha toka...!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaonekana hujawahi kutumia ATM wwHiyo ni ada ya risiti au stetement,sijakuelewa vizuri,unaombaje risiti kwenye ATM wakati ukitoa hela risiti huwa inatoka automatic hela zikisha toka...!
Gawio kubwa NMB limetokana na biashara kubwa iliofanya kipindi cha corona na kanga la mvua kubwa na ndefu vilivyo sambaratisha biashara za watu. Wakopaji wote walio shindwa kulipa madeni, NMB walifanya marekebisho ya marejesho na kurefusha muda wa kulipa pakiwa na riba. Matokeo ni maumivu kwa wakopaji na neema kwao. Nchini Kenya Banks hazikuongeza riba kwa wateja walio kwama marejesho kipindi hicho.Too much, haya mabank yanawaibia sana wananchi, risiti ni haki ya mteja, sasa napata majibu kwanini juzijuzi wamejivunia kutoa gawio kubwa kwa serikali kumbe ni za wizi wa namna hii!!!!
Sad, labda tu kwakuwa walikuwa kwenye era mbaya ya uporajiGawio kubwa NMB limetokana na biashara kubwa iliofanya kipindi cha corona na kanga la mvua kubwa na ndefu vilivyo sambaratisha biashara za watu. Wakopaji wote walio shindwa kulipa madeni, NMB walifanya marekebisho ya marejesho na kurefusha muda wa kulipa pakiwa na riba. Matokeo ni maumivu kwa wakopaji na neema kwao. Nchini Kenya Banks hazikuongeza riba kwa wateja walio kwama marejesho kipindi hicho.
Kama ni wewe jieleze vizuAcha ubish risit unaweza kuomba au kukataa na mashine zingine Kuna muda huwa hazina risit kabisa ukiomba wanakwambia ATM haina risit kote NMB Na CRDB
Toeni maelezo ya kueleweka kuhusu hiyo elfu 10. KielewekeAcha ubish risit unaweza kuomba au kukataa na mashine zingine Kuna muda huwa hazina risit kabisa ukiomba wanakwambia ATM haina risit kote NMB Na CRDB
Sio kweli kuwa zinatoka automatically, mpk uacceptHiyo ni ada ya risiti au stetement,sijakuelewa vizuri,unaombaje risiti kwenye ATM wakati ukitoa hela risiti huwa inatoka automatic hela zikisha toka...!
Hawatenganishi sababu kwenye mfumo anaye tengeneza huwa anaweka kitu kimoja kinaitwa validation,kwahiyo ili atenganishe lazima atengue hiyo validation.Mimi natumia Crdb bank wanachofanya hawa jamaa gharama z a bank wanaongeza double zero lakn hazina dhamani mfano ukiangalia salio weather umechukua risit au la 18000 hapo wana maanisha T sh 180.00, mimi ndo ninacho jua withdraw wanacharge 120000 ambayo ni sawa na Tsh 1200, sasa sijui kwa nini zile zero 2 hawatenganish
uongo ni dhambi. nakukumbusha tuNiende moja kwa moja kwenye mada,
leo nimekwenda kuchukua fedha kwenye ATM zao na nikaomba risiti, kiwango kilichokatwa nikikubwa mno (sh 10,000). Hii gharama ya huduma ya kibenki ni kubwa mno, sikuamini macho yangu, ilibidi niangalie mara mbili kama ni sh 10,000 au 1,000.
Nawashauri NMB waangalie upya makato hayo. Labda kama hawa "encourage" huduma hiyo kutumiwa na wateja wengi.
Nilikuwa naomba kujua makato yakoje kwenye benki zingine kwa huduma kama hiyo wakuu.
Umewahi kutoa pesa atm kweli wewe?Hiyo ni ada ya risiti au stetement, sijakuelewa vizuri, unaombaje risiti kwenye ATM wakati ukitoa hela risiti huwa inatoka automatic hela zikisha toka!
ina maaana pale wanavokuuliza kunb ukikublaie wanalamba la ten???duh sihitajjee risit tenaAda yake kwa mujibu wa hela aliyotoa ni 1400.
nmb risit haitoki automatic unaulizwa kama unataka risiti au hutaki.
Hakikisha kachue bank statement ili uhakikiPia kuna siku nimetoa kwenye ATM shilingi laki 4, nimekuja kuangalia salio nikakuta makato ya elfu 10,000/=
Equity ni benk moja POA Sana challenge nayopata ni kupata huduma zao mikoani Kama Songea, Kuna siku ilinibidi nifunge safar toka Songea mpaka Mbeya kutoa milion tano tuKwa mtu ulie mji mkubwa wenye bank nyingi.
Kutumia crdb na nmb ni ujinga, maana wana makato ya ajabu mengi sana, benki sahihi ni equity bank ama bank zingine za kigeni
Bank za kigeni ziliwahi kuwaliza watanzania miaka fulaniKwa mtu ulie mji mkubwa wenye bank nyingi.
Kutumia crdb na nmb ni ujinga, maana wana makato ya ajabu mengi sana, benki sahihi ni equity bank ama bank zingine za kigeni
Elfu 10,000 hii ni 10,000 x 1000 = 10,000,000/=Pia kuna siku nimetoa kwenye ATM shilingi laki 4, nimekuja kuangalia salio nikakuta makato ya elfu 10,000/=
Sijakuelewa mkuuElfu 10,000 hii ni 10,000 x 1000 = 10,000,000/=
Hii no sahihi mkuu MoneyHeist4 !!??