residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Itamke hiyo elfu 10,000 na uiweke hapa kimahesabu.Pia kuna siku nimetoa kwenye ATM shilingi laki 4, nimekuja kuangalia salio nikakuta makato ya elfu 10,000/=
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itamke hiyo elfu 10,000 na uiweke hapa kimahesabu.Pia kuna siku nimetoa kwenye ATM shilingi laki 4, nimekuja kuangalia salio nikakuta makato ya elfu 10,000/=
Ipo sehemu ya kuomba upewe au usipewe risitiyap uko sahihi, huyu mdau ameleta chenga, risiti inatoka yenyewe na hakuna mahala pa kukataa risiti.
inatakiwa ajieleze vizuri sana au tuombe MODS wampige BAN ya nguvu kwa kusababsisha taharuki na sintonfahamu.
Mi nashauri asiponyoosha maelezo apigwe BAN ili iwe fundisho kwa wengine.
Equity ni benk moja POA Sana challenge nayopata ni kupata huduma zao mikoani Kama Songea, Kuna siku ilinibidi nifunge safar toka Songea mpaka Mbeya kutoa milion tano tu
Na kuna baadhi ya ATMs kama TPB ukiomba hata usipoomba inakupa kwa lazimaIpo sehemu ya kuomba upewe au usipewe risiti
, Ila kuna wakati pia Atm inaweza kuishiwa risiti na ikakupa option ya kama unataka kuendelea na transaction bila risiti,
sikuwahi jua hii ila mimi pia lazima niombe salio kumbe bora kutumia benki zina zotumia umoja maana kujua salio ni haki ya mteja hiyo kratasi inatumia winowangharama kias igani10000/= serious?
Aisee kama niivo nimepigwa sna[emoji28][emoji28]
Yaani mimi lazima niombe risiti nikienda ATM!
Mkuu unaweza kukuta 1000 umeangalia vbya!
Ngoja na Mimi nilifanyie kazi
Mkuu usipokuwa makini humu kuna watu kazi yao siyo kuchangia ila ni kutengeneza burudani 😀 🤣Uwongo!
Hawana MasterCard/Visa ambayo ungeweza kutoa PESA benki yoyote?
Mbona mnajivunia sana UJINGA!
Equity ni benk moja POA Sana challenge nayopata ni kupata huduma zao mikoani Kama Songea, Kuna siku ilinibidi nifunge safar toka Songea mpaka Mbeya kutoa milion tano tu
Niende moja kwa moja kwenye mada,
leo nimekwenda kuchukua fedha kwenye ATM zao na nikaomba risiti, kiwango kilichokatwa nikikubwa mno (sh 10,000). Hii gharama ya huduma ya kibenki ni kubwa mno, sikuamini macho yangu, ilibidi niangalie mara mbili kama ni sh 10,000 au 1,000.
Nawashauri NMB waangalie upya makato hayo. Labda kama hawa "encourage" huduma hiyo kutumiwa na wateja wengi.
Nilikuwa naomba kujua makato yakoje kwenye benki zingine kwa huduma kama hiyo wakuu.
Hiyo ni ada ya risiti au stetement, sijakuelewa vizuri, unaombaje risiti kwenye ATM wakati ukitoa hela risiti huwa inatoka automatic hela zikisha toka!
Ata DTB wako poa sanaKwa mtu ulie mji mkubwa wenye bank nyingi.
Kutumia crdb na nmb ni ujinga, maana wana makato ya ajabu mengi sana, benki sahihi ni equity bank ama bank zingine za kigeni
Hata KCB Kenya commercial Bank lkn hizo nyingine ni SheedaKwa mtu ulie mji mkubwa wenye bank nyingi.
Kutumia crdb na nmb ni ujinga, maana wana makato ya ajabu mengi sana, benki sahihi ni equity bank ama bank zingine za kigeni
Nilichojifunza kwenye huu mkekaHakuna makato kama hayo, jaribu kufuatilia miamala yako vizuri
Tuliopo kwenye hii bank tunakiona cha moto, ukienda kwa mawakala wanakwambia hatuna float mara mtandao unasumbua mara heeee!!! hivi kuna watu bado wanatumia hii bank, wee Maimuna bandua hilo tangazo hapo nje linawachanganya watejaHata KCB Kenya commercial Bank lkn hizo nyingine ni Sheeda
😁😁😁inawezekana kabisa. Mimi mara 2 imeshanitokea ya kwaza ile TZS7000 mi nkajua elfu57 nkawambia wenzangu hii hela sijui imetoka wapi mimi nmemaliza nashangaa kuona imebaki57k ndiyo nao kusoma risiti walicheka sana,wakasema soma vzr ni "S" siyo "5".Siamini!! Nadhani una matatizo ya macho! Vile vikaratasi, kama charge yake ni Sh.100, itaandikwa 100.00, sasa hiyo nukta inakuwaga ngumu sana kuiona!
Mkuu usipokuwa makini humu kuna watu kazi yao siyo kuchangia ila ni kutengeneza burudani 😀 [emoji1787]
🤣Yaani watu wengine ni wacheshi mno mkuu, basi tuishi nao tu.[emoji28][emoji28][emoji28]