NMB yawaburuza CRDB na wenzake kifaida chini ya Mwanamama Ms Ruth Zaipuna, huenda Ukimwacha Rais Dkt Samia na Spika Dkt. Tulia mwingine ni huyu Mama

FCC hamna kitu, imagine Tigo anamnunua Zantel ambaye ni competition yake huko zanzibar alafu FCC wapo tu
Ingekuwa ni pingamizi kama makampuni ya simu yapo mawili tu au matatu. Ila sio pingamizi sababu makampuni ni mengi na Zantel ingeachwa ingejifia na kupoteza uwekezaji, ajira na tija.

Nikienda hata Marekani au Ulaya kuna makampuni mengi yamenunuliwa na washindani wake. Boeing imenunua McDonnel Douglas, Pfizer imenunua Pharmacia ambayo ilifanya merger na Monsanto.

Wewe unataka yaleyale ya FCC kuzuia takeover ya kina Twiga kwenye simenti kisa ni competitors. Wale ni wachache, na takeover isipofanyika performance ya kampuni inayouzwa inaendelea kushuka.
 
Mkuu zantel kwa zanzibar ni almost a monopoly yaani ina market share kubwa sasa kununuliwa na competitor kama Tigo ni kumaliza ushindani maana market concentration inakua kubwa kwa kampuni mbili hivyo kuacha wateja wanakosa option.

Umetoa mifano ya US ila kumbuka hata Congress walifungua mjadala wa kupinga Meta kununua mitandao kama whatsapp or instagram sababu inaua competition kabisa
 
Hapa mbona sioni correlation! Md kafika hapo kwa utendaji wake wa kazi sasa tunapo oanisha perfomance yake na awamu ya sita haingii akilini,
 
Sahihi
 
Hakika, tuko nyuma sana kulinganisha na ulimwengu wa kwanza.
 
Hata uko NMB walipo mbona wanamsaidia mama
 

Tatizo umemsifia Mkurugenzi tu, amekupa hela au uchi uje kumpamba humu, NMB sio Mkurugenzi tu ndio analeta matokeo mazuri ya faida, acha ujinga, umemsifia Mkurugenzi hadi umetia kichefuchefu humu, nyokolost
 
Kote umesema sahihi ila hapo kwa Tulia hapana. Hata lile la bandari limenifanya Mama kaniogopesha sana. Cjajua ile mikataba 36 aliyosain pale Dubai bado eneo gan tena liondoke
 
Please ukubwa in terms of what? Kama ni total assets CRDB ina Trillion 11.64 ila NMB ina Trillion 10.4!! Umetumia parameters zipi. Utusaidie kwa faida ya wote.
Soma vizuri amesema kifaida NMB I aongeze na ni benki pekee kutoka tanzania inayoweza kushindana kimataifa
 
Tatizo umemsifia Mkurugenzi tu, amekupa hela au uchi uje kumpamba humu, NMB sio Mkurugenzi tu ndio analeta matokeo mazuri ya faida, acha ujinga, umemsifia Mkurugenzi hadi umetia kichefuchefu humu, nyokolost
Sasa wewe unaelewa maana team leader?


Hata Waziri alifanya vizuri vipi Sifa zote ni za Rais wa nchi, acha makasiriko,

Nimesema na "management nzima ya NMB pamoja na Bodi wa Wakurugenzi chini ya mzee Dkt Edwin Mhede" Sasa nimemsifu vipi MD peke yake?
 
Nakubaliana na wewe mwandishi ,

Mwaka 2021 NMB ilikuwa na wateja 5m definitely Leo watakuwa zaidi ya 6 au 7,

Mwaka 2021 pia zilikuwepi ATM 775 hivi Leo ni kweli zinafika 1,000

Mwaka 2021 faida ilikuwa 290bl Leo ni sahihi kufika 398bl

Mwaka 2021 kulikuwa na matawi 226 Leo ni dhahiri 230 yanazidi sana

Mwaka 2021 tulikuwa na wafanyakazi zaidi 4,000 Leo huenda tukafika 5,000

Mwaka 2021 tulikuwa na mawakala zaidi ya 10,000 Leo ni sawa wakiwa zaidi ya 13,000

Hongera kwa Uzalendo wako,

Ni Mimi shareholder na Zaipuna ndio Kila kitu kwetu, We love na We trust her ever,

Hata enzi za wazungu mambo hayakuwa Bora kiasi hiki.
 
Asante sana kwa comment nzuri kwakuwa wewe ni mmoja wa wamiliki tunaamini zaidi maneno yako,

NMB ni moto kwelikweli,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…