NMB yawaburuza CRDB na wenzake kifaida chini ya Mwanamama Ms Ruth Zaipuna, huenda Ukimwacha Rais Dkt Samia na Spika Dkt. Tulia mwingine ni huyu Mama

Huo ndo ukweli..
Walimu ndo wameisimamisha hiyo bank. Huyu Mama anapokea ndondokela tuuhh
Kama issue ni walimua Tu, sidhani Kwani, Kwan hii kitu kipo Wayback,

Kuna mitaji mingi Sana imeingia, si unajua Samia ametafuta funds nyingi Kwa ajili ya Miradi ya maendeleo, na pesa nyingi zimepelekwa nmb Kwa ajili ya shughuli za maendeleo
 
Walimu wapo kabla ya hyo Bank..
 
Eti vichwa
 
Wonderful Mama, NMB imepata kiongozi kwelikweli kwa data hizi
 
Mtafute akupe kibarua sasa
Nitampataje...😭😭😭 Mara nyingi watu husahau walipo toka. Ila huyo mama alikaa dawati Moja na mama yangu enzi wanasoma.

Na kiuwezo darasani mama yangu alikuwa juu na alikuwa akimfundisha pia..

Walipotezana muda Hadi mama alipo kuja kumuona kwenye gazeti akiwa kiongozi wa NMB...!​
 
Wewe na mama yako mfuateni pale NMB Makao makuu
 
Benki nyinginezo zingefungua kesi kwenye tume ya ushindani. Kwa upande mwingine kulinda chako dhidi ya ushindani ni jambo zuri japo linadumaza akili.
Wakalalamike nini? Kwan wao wamekatazwa kuwa na matawi nchi nzima ?
 
BENKI ZA BONGO Unakuta kuna madirisha 8 ya kutoa huduma ila yanayohudumia ni mawili. Moja lina kadada kana kiburi halafu kanajiskia saaana, dirisha la pili kuna mwanaume ambae kazi yake ni kuingia na kutoka hatuliii.
 
Hahaha aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…