Mburia
JF-Expert Member
- Jul 15, 2022
- 2,369
- 3,488
Vipi mama yako na yeye katoboa kimaisha? Just curious nothing personal...Nampenda sana amesoma na mama yangu. Japo wamepotezana muda mrefu tokea walivyo malizia shule.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi mama yako na yeye katoboa kimaisha? Just curious nothing personal...Nampenda sana amesoma na mama yangu. Japo wamepotezana muda mrefu tokea walivyo malizia shule.
Huo ndo ukweli..
Kama issue ni walimua Tu, sidhani Kwani, Kwan hii kitu kipo Wayback,Huo ndo ukweli..
Walimu ndo wameisimamisha hiyo bank. Huyu Mama anapokea ndondokela tuuhh
Ukaguzi wa CAG ni muhimu.Aiseeee, kumbe Watanzania Tunaweza tukiaminiana
View attachment 2806498
![]()
NMB chief Ruth Zaipuna among women CEOs driving growth in Africa
A new report lists 93 women leaders from 17 African countries driving private sector growth on the continent.www.thecitizen.co.tz
Walimu wapo kabla ya hyo Bank..Kama issue ni walimua Tu, sidhani Kwani, Kwan hii kitu kipo Wayback,
Kuna mitaji mingi Sana imeingia, si unajua Samia ametafuta funds nyingi Kwa ajili ya Miradi ya maendeleo, na pesa nyingi zimepelekwa nmb Kwa ajili ya shughuli za maendeleo
Tuwapongeze walimu kwa kuthamini kilicho Bora zaidiWalimu wapo kabla ya hyo Bank..
Walimu ni asilimia chache sana ya faida ila faida kubwa inatoka katika loan portfolio ila huyu mtu anaitwa Akoonay ni jembe sana kaisimamisha sana NMB nazungumza kama mfanyakaziTuwapongeze walimu kwa kuthamini kilicho Bora zaidi
Eti vichwaKuna vichwa pale NMB ni balaa ukiacha ZAIPUNA Kuna kichwa kinaitwa MPONZI Jamaa mmoja hivi ana upara ni hatari. Kuna DONATUS Richard mkuu wao wa biashara yaani wapo creative balaa I wish hivi vichwa vije vimsaidie mama kwenye uchumi pia vipewe uhuru wa kufanya kazi aiseee tutatoboa
NMB niko kitambo Sana. Ndiyo wanunuzi wa mwanzo kabisa wa Share kwenye Primary Market. Nilisharudisha mtaji muda. Nakula faida tu. Na mwaka 2023 tutapata gawio zuri Sana.Nenda tu NMB nasikia hisa ziko vizuri sana
Aise huyu Mama apewe maua yake tu kwakweliNMB niko kitambo Sana. Ndiyo wanunuzi wa mwanzo kabisa wa Share kwenye Primary Market. Nilisharudisha mtaji muda. Nakula faida tu. Na mwaka 2023 tutapata gawio zuri Sana.
Hapana 😭😭😭Vipi mama yako na yeye katoboa kimaisha? Just curious nothing personal...
Mtafute akupe kibarua sasaHapana 😭😭😭
Wonderful Mama, NMB imepata kiongozi kwelikweli kwa data hiziView attachment 2805767
MS Ruth Zaipuna Mkurugenzi Mkuu NMB.
======
Wasalaam Jf team,
Waswahili tunasema " Mnyonge Mnyongeni lakini haki yake Mpeni "
Sote tunakumbuka baada ya NBC Bank kuvunjwa Mwaka 1997 na baadae kuanzishwa kwa Benki mpya ya Makabwera ya NMB na baadae Benki hiyo kubinafsishwa kwa Rabobank ya Uholanzi iliyomiliki hisa asilimia 49 na Rabo baadae kumuuzia baadhi ya Shea Arise,
Wakati wote NMB PLC imekuwa ikiongozwa na watu kutoka nje ya nchi tu isipokuwa huyu Mkurugenzi wa Sasa Bi Ruth Zaipuna aliyekabidhiwa nafasi hiyo ya Ukurugenzi Mkuu rasmi mwaka 2020.
Kumbukumbu zinaonesha wakati mama huyu anaingia madarakani NMB bank ilikuwa na matawi yapatayo 100 tu nchi nzima na ATMs zipatazo 500 nchi nzima.
Leo NMB bank imefikisha matawi zaidi ya 230 na ATMs zaidi ya ATMs 1,000 na mawakala zaidi 12,000 nchi nzima hii ni sawa na kusema mama huyu ameikuza bank hii ya Makabwera kwa zaidi ya marambili, yaani ukuaji wa 100% au kwa lugha rahisi ni sawa na kusema NMB bank PLC imefika katika Kila Jimbo la Uchaguzi la kiserikali haba bara.
Kutoka katika tovuti ya NMB taarifa zinaonesha NMB bank ilikuwa na wateja wasiozidi 600,000 miaka kumi iliyopita na wakati huu wa Ruth Zaipuna banki hii imefikia wateja zaidi ya 6M nchi nzima,karibu mara kumi zaidi.
Kuhusu Uzalendo & Uzawa Kunajambo la kujifunza kwa hawa wanawake watatu yaani Rais Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan, Spika wa bunge la JMT na IPU Mhe Dkt Tulia Aksoni na Mkurugenzi Ruth Zaipuna kwa namna wanavyoleta mabadiliko ya kasi kwenye taasisi wanazoziongoza,
Hebu tazama orodha hii ya faida kwa mabenki kumi ya Tanzania yaliyofanya vizuri katika robo ya tatu tu ya mwaka huu wa 2023 ndio utaelewa vizuri nachosema kuhusu huyu Mkurugenzi.
1. NMB Bank: TZS 398 billion
2. CRDB Bank: TZS 280 billion
3. Stanbic Bank: TZS 95 billion
4. StanChart: TZS 64 billion
5. NBC Bank: TZS 62 billion
6. Citibank TZS 44 billion
7. PBZ TZS 41 billion
8. Exim Bank TZS 40 billion
9. Absa Bank TZS 37 billion
10. KCB Bank TZS 35 billion
Taarifa zinaonesha faida ya Jumla kwa mabenki yote Tanzania ni shilingi trilioni moja katika robo hii ya tatu, Hii ni sawa na kusema NMB PLC pekee anamiliki 40% ya faida yote huku ikimpiku kwa mbali mshindani wake wa karibu CRDB bank kwa zaidi ya TZS 118 BL sawa na 70% ya faida yake.
Wakati Ruth Zaipuna anakuwa Mkurugenzi Mkuu Benki hii ilikuwa na wastani wa faida ya TZS 200BL baada ya kodi wakati Leo faida imekuwa na kufikia wastani wa karibu TZS 400BL kwa mwaka yaani sawa na marambili zaidi.
Pia, taarifa zinaonesha Benki ya NMB inashika nafasi ya sita kwa Ukubwa katika nchi zote Kusini mwa jangwa la Sahara na ndio Benki pekee toka Tanzania inayoshindana kimataifa katika ukubwa wa Biashara.
Watanzania tuna la kujivunia toka kwa Mkurugenzi huyu mzawa akisaidiwa na management nzima ya NMB PLC pamoja na Bodi ya Wakurugenzi wa NMB PLC chini ya Dkt Edwin Mhede, Hakika Mmestahili Heshima.
Kwa msiofahamu Mwaka 2021, Benki ya NMB chini ya Ruth Zaipuna ilitambuliwa na kutunukiwa tuzo saba za kimataifa
ikiwemo tuzo ya Euromoney ya Ubora, ikiitambua benki ya NMB kama Benki
bora Tanzania (kwa miaka tisa mfululizo) na tuzo kutoka Jarida la Global
Finance ikiitambua benki ya NMB kama benki salama zaidi Tanzania.
Pia mwaka 2021, benki ya NMB ilitambuliwa na kupewa tuzo na Mamlaka ya
Mapato Tanzania (TRA) ikiitambua kama mlipa kodi mkubwa zaidi kwenye
sekta ya fedha na pia mlipa kodi mkubwa namba tatu kwa ujumla nchini hii ni chini ya Ruth Zaipuna.
Kwa matokeo haya, Huenda Ukimwacha Rais Dkt Samia na Spika Dkt Tulia mwingine ni huyu Ruth Zaipuna wa NMB PLC deserves better.
Mtafute akupe kibarua sasa
Wewe na mama yako mfuateni pale NMB Makao makuuNitampataje...😭😭😭 Mara nyingi watu husahau walipo toka. Ila huyo mama alikaa dawati Moja na mama yangu enzi wanasoma.
Na kiuwezo darasani mama yangu alikuwa juu na alikuwa akimfundisha pia..
Walipotezana muda Hadi mama alipo kuja kumuona kwenye gazeti akiwa kiongozi wa NMB...!
Wakalalamike nini? Kwan wao wamekatazwa kuwa na matawi nchi nzima ?Benki nyinginezo zingefungua kesi kwenye tume ya ushindani. Kwa upande mwingine kulinda chako dhidi ya ushindani ni jambo zuri japo linadumaza akili.
Haitoitajika appointment kweli...🤣🤣🤣Wewe na mama yako mfuateni pale NMB Makao makuu
View attachment 2805767
MS Ruth Zaipuna Mkurugenzi Mkuu NMB.
======
Wasalaam Jf team,
Waswahili tunasema " Mnyonge Mnyongeni lakini haki yake Mpeni "
Sote tunakumbuka baada ya NBC Bank kuvunjwa Mwaka 1997 na baadae kuanzishwa kwa Benki mpya ya Makabwera ya NMB na baadae Benki hiyo kubinafsishwa kwa Rabobank ya Uholanzi iliyomiliki hisa asilimia 49 na Rabo baadae kumuuzia baadhi ya Shea Arise,
Wakati wote NMB PLC imekuwa ikiongozwa na watu kutoka nje ya nchi tu isipokuwa huyu Mkurugenzi wa Sasa Bi Ruth Zaipuna aliyekabidhiwa nafasi hiyo ya Ukurugenzi Mkuu rasmi mwaka 2020.
Kumbukumbu zinaonesha wakati mama huyu anaingia madarakani NMB bank ilikuwa na matawi yapatayo 100 tu nchi nzima na ATMs zipatazo 500 nchi nzima.
Leo NMB bank imefikisha matawi zaidi ya 230 na ATMs zaidi ya ATMs 1,000 na mawakala zaidi 12,000 nchi nzima hii ni sawa na kusema mama huyu ameikuza bank hii ya Makabwera kwa zaidi ya marambili, yaani ukuaji wa 100% au kwa lugha rahisi ni sawa na kusema NMB bank PLC imefika katika Kila Jimbo la Uchaguzi la kiserikali haba bara.
Kutoka katika tovuti ya NMB taarifa zinaonesha NMB bank ilikuwa na wateja wasiozidi 600,000 miaka kumi iliyopita na wakati huu wa Ruth Zaipuna banki hii imefikia wateja zaidi ya 6M nchi nzima,karibu mara kumi zaidi.
Kuhusu Uzalendo & Uzawa Kunajambo la kujifunza kwa hawa wanawake watatu yaani Rais Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan, Spika wa bunge la JMT na IPU Mhe Dkt Tulia Aksoni na Mkurugenzi Ruth Zaipuna kwa namna wanavyoleta mabadiliko ya kasi kwenye taasisi wanazoziongoza,
Hebu tazama orodha hii ya faida kwa mabenki kumi ya Tanzania yaliyofanya vizuri katika robo ya tatu tu ya mwaka huu wa 2023 ndio utaelewa vizuri nachosema kuhusu huyu Mkurugenzi.
1. NMB Bank: TZS 398 billion
2. CRDB Bank: TZS 280 billion
3. Stanbic Bank: TZS 95 billion
4. StanChart: TZS 64 billion
5. NBC Bank: TZS 62 billion
6. Citibank TZS 44 billion
7. PBZ TZS 41 billion
8. Exim Bank TZS 40 billion
9. Absa Bank TZS 37 billion
10. KCB Bank TZS 35 billion
Taarifa zinaonesha faida ya Jumla kwa mabenki yote Tanzania ni shilingi trilioni moja katika robo hii ya tatu, Hii ni sawa na kusema NMB PLC pekee anamiliki 40% ya faida yote huku ikimpiku kwa mbali mshindani wake wa karibu CRDB bank kwa zaidi ya TZS 118 BL sawa na 70% ya faida yake.
Wakati Ruth Zaipuna anakuwa Mkurugenzi Mkuu Benki hii ilikuwa na wastani wa faida ya TZS 200BL baada ya kodi wakati Leo faida imekuwa na kufikia wastani wa karibu TZS 400BL kwa mwaka yaani sawa na marambili zaidi.
Pia, taarifa zinaonesha Benki ya NMB inashika nafasi ya sita kwa Ukubwa katika nchi zote Kusini mwa jangwa la Sahara na ndio Benki pekee toka Tanzania inayoshindana kimataifa katika ukubwa wa Biashara.
Watanzania tuna la kujivunia toka kwa Mkurugenzi huyu mzawa akisaidiwa na management nzima ya NMB PLC pamoja na Bodi ya Wakurugenzi wa NMB PLC chini ya Dkt Edwin Mhede, Hakika Mmestahili Heshima.
Kwa msiofahamu Mwaka 2021, Benki ya NMB chini ya Ruth Zaipuna ilitambuliwa na kutunukiwa tuzo saba za kimataifa
ikiwemo tuzo ya Euromoney ya Ubora, ikiitambua benki ya NMB kama Benki
bora Tanzania (kwa miaka tisa mfululizo) na tuzo kutoka Jarida la Global
Finance ikiitambua benki ya NMB kama benki salama zaidi Tanzania.
Pia mwaka 2021, benki ya NMB ilitambuliwa na kupewa tuzo na Mamlaka ya
Mapato Tanzania (TRA) ikiitambua kama mlipa kodi mkubwa zaidi kwenye
sekta ya fedha na pia mlipa kodi mkubwa namba tatu kwa ujumla nchini hii ni chini ya Ruth Zaipuna.
Kwa matokeo haya, Huenda Ukimwacha Rais Dkt Samia na Spika Dkt Tulia mwingine ni huyu Ruth Zaipuna wa NMB PLC deserves better.
Hahaha aiseeBENKI ZA BONGO Unakuta kuna madirisha 8 ya kutoa huduma ila yanayohudumia ni mawili. Moja lina kadada kana kiburi halafu kanajiskia saaana, dirisha la pili kuna mwanaume ambae kazi yake ni kuingia na kutoka hatuliii.
Appointment utaipata hapohapo ukifikaHaitoitajika appointment kweli...🤣🤣🤣