Kuna vichwa pale NMB ni balaa ukiacha ZAIPUNA Kuna kichwa kinaitwa MPONZI Jamaa mmoja hivi ana upara ni hatari. Kuna DONATUS Richard mkuu wao wa biashara yaani wapo creative balaa I wish hivi vichwa vije vimsaidie mama kwenye uchumi pia vipewe uhuru wa kufanya kazi aiseee tutatoboa
Ngoja tujaribu 🤣🤣🤣Appointment utaipata hapohapo ukifika
Sasa Mama yako alifeli wapi au ndio mimba yakoNgoja tujaribu 🤣🤣🤣
Nadhani...🤣😭🤣😭Sasa Mama yako alifeli wapi au ndio mimba yako
Akili ni genetical make up sio herufi ya jina, hata Zelesky ni RaisYaaan ni Maaajabu kwa kwelii, hivii inaakuwajee mtu jina lakee limeanza na Z... Awe na akili hivyoo, huendaa ikawaa alirisiti sanaa shuleni, hata masomoni. Mi nafahamu wanawake wotee majina yaa Za.... Ni mbululaa, na hamnibadilishi mtazamo!
Ikamletea baraa Hadi Leo TUna hangaika...😭😭😭Sasa Mama yako alifeli wapi au ndio mimba yako
Yaaan ni Maaajabu kwa kwelii, hivii inaakuwajee mtu jina lakee limeanza na Z... Awe na akili hivyoo, huendaa ikawaa alirisiti sanaa shuleni, hata masomoni. Mi nafahamu wanawake wotee majina yaa Za.... Ni mbululaa, na hamnibadilishi mtazamo!
Ni ndugu yako sio bure cc:TISSKuwa na akili sio kufanikiwa kimaisha. Zamani kazi zilikuwa zinakufuata zenyewe. Huyu mama ni wa enzi hizo mtu aliesoma shule ya msingi miaka ya mwanzoni ya 80 huko.
Harafu inaonyesha hajakulia familia za wakulima mzazi wake alikuwa mtumishi nadhani afisa elimu.
Hivyo hata kama aliresit Zaidi ya mara 2 aliepata kapata hivi sasa nae ni mtu tena sio mtu TU ni mwenye mamlaka na NMB yake...!
Haha teh tehIkamletea baraa Hadi Leo TUna hangaika...😭😭😭
Alikuzaa masomoni au? 😢
Sasa kama Mama yako alifanya makosa wewe clear hiyo tatizo,Kuwa na akili sio kufanikiwa kimaisha. Zamani kazi zilikuwa zinakufuata zenyewe. Huyu mama ni wa enzi hizo mtu aliesoma shule ya msingi miaka ya mwanzoni ya 80 huko.
Harafu inaonyesha hajakulia familia za wakulima mzazi wake alikuwa mtumishi nadhani afisa elimu.
Hivyo hata kama aliresit Zaidi ya mara 2 aliepata kapata hivi sasa nae ni mtu tena sio mtu TU ni mwenye mamlaka na NMB yake...!
Ni ndugu yako sio bure cc:TISS
Wewe ni " He or She "Hapana ila ili zuia asipate kazi serikalini haswa ukizingatia kipindi hicho. Ukiwa na elimu ya darasa la 7 na cheti chako Cha typing ajira nje nje...😭🤣😭🤣
Yeye alikuwa na cheti Cha typing na mjomba ake alikuwa mtu mzito TU serikalini hivi sasa ni marehemu {} alikuwa wizara ya Afya.
Alikataa kumsaidia kwasababu ya ujauzito😭😭😭
SI ajabu mama angekuwa sehemu nzuri TU. Nimemtia UMASIKINI mama angu...😭😭😭
Nani kakatwa acha Uchochezi hakuna bank yenye riba na tozo nafuu Kama NMB dunianiWatu wanakatwa mapesa yao mnaita faida
Sasa kama Mama yako alifanya makosa wewe clear hiyo tatizo,
Upo jikoni utaacha kujipigia promo!!Nani kakatwa acha Uchochezi hakuna bank yenye riba na tozo nafuu Kama NMB duniani
Mimi ni "he" mkuuWewe ni " He or She "
Sawa, dogo pambana omba connection kwa mama mkubwaMimi ni "he" mkuu