NMB yawaburuza CRDB na wenzake kifaida chini ya Mwanamama Ms Ruth Zaipuna, huenda Ukimwacha Rais Dkt Samia na Spika Dkt. Tulia mwingine ni huyu Mama

Huenda na mhimili wa mahakama ungeongozwa na mwanamke, na yeye ungemtaja; uwongo?

NB: siwapigii debe wanawake!
 
Hizi benki Nmb na Crdb zinaongoza sio kwa sababu ya akili za mtu bali ndio zinazoongoza kumpokea mishahara ya wafanyakazi wa umma na binafsi hii ndio sababu kuu.
Ingekuwa anaongoza Akiba Bank na kuiingiza kwenye top 10 tu hizo pongezi ulizotoa angestahili.
Watu walimsifia Kimei kuongoza Crdb kwa mafanikio Sasa hayupo lakini Bado Crdb inasonga mbele naye huyu mama Ruth atatoka baada ya mda wake kuisha na NMB itazidi kusonga mbele kutoka na mtaji wa wateja walionao kutoka serikali,sekta binafsi na wengineo hicho ndicho NMB wanajivunia.
Mtaji ni watu. Azam Fc wanakila kitu ila hawawezi kuipiku yanga na Simb.
 
Wewe Jidu La Mabambasi Sio Kila sehemu ni Siasa tu kaka jaribu kuwa na adabu na watu serious kama hawa. Truest me ,In a Bank you can't temper even with a single coin.
Ha ha ha!
Mgejua tu, Banks in Tz are the riskiest kuweka amana yako.
Wafanyakazi wa mabenki wanapiga deal zisizo na kawaida.
Bahati yao ni kwamba since wana deal na cash isiyo yao, wana a big margin ya faida, wanaweza ku cover wizi wote unaoendelea ndani ya benki.
 
Hao wote wezi kuiba shilingi mia Mia kwa kila mteja kwa nn malengo yasipitilize.
 
Mfumo wetu wa kifisadi utawaangusha, wabaki tu na taaluma na kazi zao huko walipo, nidhamu serikalini inapaswa kurejea kwa kiwango cha juu sana ndo unaweza kuwatumia wataalamu hawa, wanaoibua madudu kama prof assad ndio wanatengenezewa zengwe na kuondolewa, nchi ya ajabu sana hii

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Kuna vitu nimeviona

1. She is competent, NO QUESTION

2. Idadi ya matawi na ATMs zilizofunguliwa haziko sawa kama ulivyozitaja taking into consideration that huduma nyingi sana kwa sasa zinaweza kufanywa na agents kwa gharama nafuu Banks zinapigania kupunguza gharama Kwa ku push huduma za kawaida za kibenki kumalizwa na Agents. Hivyo sio fahari tena kwa Banks kujinasibu kwa kufungua matawi mengi na ATM
ukichunguza sana kwa Jiji kama Dsm utaona baadhi ya maeneo ATM za Nmb hazipo Tena

3.Ukiangalia qualifications za Board Members 80% ni watu wenye background za IT ukijumlisha na umaridadi wa Banking Software za Nmb vinambeba CEO
Kuna uwezekano mkubwa kutokana na software nzuri end of day's work inakuwa observed mpaka Rabobank/Netherland

4. Tatizo la Crdb kuwa na ONLY ONE MAN SHOW (Kimei) limeinyanyua Nmb baada tu ya Kimei kustaafu ndio Nmb ilianza kufurukuta. Alikuwa hodari sana kufanya lobbying kwa Government institutions na mashirika makubwa

5. Magu na Hisia za Uchaga
Inasemekana Magu alikuwa amenuwia kuvunja Chaga group zilizotamalaki TRA, Bandari na CRDB
ambayo ilianza na Kimei, hii kwa kiasi fulani hata wateja wakubwa nao kuhama hama
 
ATM na branches bado ni muhimu Kuna watu hawawataki kabisa mawakala na branch kwaajili ya deposit na withdraw kubwa kubwa na opinng ya akaunt
 
CRDB bado sana kwa hawa NMB kwasababu NMB imejengwa kwenye msingi wa Microcleints
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…