NMB yawaburuza CRDB na wenzake kifaida chini ya Mwanamama Ms Ruth Zaipuna, huenda Ukimwacha Rais Dkt Samia na Spika Dkt. Tulia mwingine ni huyu Mama

Ukitaka kumuoa lazima nawe uchumi wako uwe imara, lasivyo utatuletea shida hap

Umeandika mambo mengi kwa wakati mmoja ila nakujibu tu hii compared to other commercial banks
 
Umeandika mambo mengi kwa wakati mmoja ila nakujibu tu hii compared to other commercial banks
Yeah tunaita market share au market penetration yaani ATM za NMB vs ATM Zote Tanzania!! hapo ndio unapata picha nzuri ila ukisema eti ATM from 100 to 1000 bila kujua CRDB zimeongezeka ngapi au KCB!! Inakua blind analysis.
 
Ukabwa wa assets wakati mwenye asset ndogo zaidi yako anaweza zalisha faida kuliko mwenye asset zako ?CRDB mjitafakari saaana
Umetoa wapi data? Return on Assets ya CRDB na NMB ni 5 sasa kamzidi wapi? Acheni Longo longo.
 

Naona mnajipigia debe hapa. Mama Zaipuna apewe sifa zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…