Nmeacha kazi bila kumshirikisha mwajiri, Je naweza Kupata NSSF yangu?

Rick16

Member
Joined
Jul 2, 2022
Posts
53
Reaction score
204
Habari wakuu.

Niliajiriwa kwenye sekta binafsi Kwa takriban miaka Saba. Sasa nmepata fursa ya kujiajiri hivyo ilinibidi niache kazi bila taarifa Kwa maana SEHEMU nliyoajiriwa ni ngumu Sana kuacha kazi.

Imepita miezi minne Sasa na wameshanitoa kwenye payroll Yao
Je nnaweza nikapata nssf yangu?
Kama jibu ni ndio ni Kwa utaratibu gani?

Je nnaweza nikapata ajira kwngne then nifukuzwe huko ili nipate nssf kupitia huko?
Naomba Msaada wenu wajuzi
 
Kuacha kazi una haki vipi unetoroka? Sasa rudi ukaandike barua ya kuacha kazi toja tarehe ulipiachs. Wakijibu huo ndio ushidi hauko kazini.
 
Habari wakuu.

Niliajiriwa kwenye sekta binafsi Kwa takriban miaka Saba. Sasa nmepata fursa ya kujiajiri hivyo ilinibidi niache kazi bila taarifa Kwa maana SEHEMU nliyoajiriwa ni ngumu Sana kuacha kazi.

Imepita miezi minne Sasa na wameshanitoa kwenye payroll Yao
Je nnaweza nikapata nssf yangu?
Kama jibu ni ndio ni Kwa utaratibu gani?

Je nnaweza nikapata ajira kwngne then nifukuzwe huko ili nipate nssf kupitia huko?
Naomba Msaada wenu wajuzi
Kuna confirmation itahitajikq toka kwa mwajiri wako wa kwanza ili uweze kusonga mbele
 
Hadi salary slip..?

Kila la kheri

Lakini kwanini usirudi kwa muajiri wako maana termination of contract inaweza kuwa ya pande zote mbili
.
Nenda andika barua na ueleze uliacha lini muachane kwa amani
Hivi hata serikalini mtu anaeza kupata mafao yake akifuata huo utaratibu kabla ya kuacha kazi? Au ni private tu
 
Habari wakuu.

Niliajiriwa kwenye sekta binafsi Kwa takriban miaka Saba. Sasa nmepata fursa ya kujiajiri hivyo ilinibidi niache kazi bila taarifa Kwa maana SEHEMU nliyoajiriwa ni ngumu Sana kuacha kazi.

Imepita miezi minne Sasa na wameshanitoa kwenye payroll Yao
Je nnaweza nikapata nssf yangu?
Kama jibu ni ndio ni Kwa utaratibu gani?

Je nnaweza nikapata ajira kwngne then nifukuzwe huko ili nipate nssf kupitia huko?
Naomba Msaada wenu wajuzi
Unazipataje huna termination letter wala certificate of service?
 
Huwezi kupata mafao bila barua ya mwajiri kuonesha umeacha kazi na hiyo barua ni lazima iwe na muhuri wa ofisi pamoja na sahihi ya mwajiri.
siku hizi hivyo vinafanyikia online ambapo ni lazima mwajiri aingie kuidhinisha.
Kazi kwako
 
Sio rahisi, maana wao hutaka
1. Termination letter
2. Certificate of service
Zote hizi ni mwajiri anatoa. Labda HR akuchezeshee kiungwana.
Wakikuta umecha mwenyew mlolongo kidogo
What if nkaajiriwa sehem nyngne ....wakaniingizia nssf kama miez minne HV then wakanifire...ntaweza pata au lazima mwajiri wng wa kwnza nae ausike
 
Habari wakuu.

Niliajiriwa kwenye sekta binafsi Kwa takriban miaka Saba. Sasa nmepata fursa ya kujiajiri hivyo ilinibidi niache kazi bila taarifa Kwa maana SEHEMU nliyoajiriwa ni ngumu Sana kuacha kazi.

Imepita miezi minne Sasa na wameshanitoa kwenye payroll Yao
Je nnaweza nikapata nssf yangu?
Kama jibu ni ndio ni Kwa utaratibu gani?

Je nnaweza nikapata ajira kwngne then nifukuzwe huko ili nipate nssf kupitia huko?
Naomba Msaada wenu wajuzi
Unapata bila shida yoyote boss! Unaweza Kuja inbox nikusaidie namna ya kupata!
 
Huwezi kupata mafao bila barua ya mwajiri kuonesha umeacha kazi na hiyo barua ni lazima iwe na muhuri wa ofisi pamoja na sahihi ya mwajiri.
siku hizi hivyo vinafanyikia online ambapo ni lazima mwajiri aingie kuidhinisha.
Kazi kwako
Anapata bila shida yoyote msikariri njia moja mkuu! Zipo njia nyingi za kupata hela ukiwa na namba yako tu unapata bila shida yoyote
 
Habari wakuu.

Niliajiriwa kwenye sekta binafsi Kwa takriban miaka Saba. Sasa nmepata fursa ya kujiajiri hivyo ilinibidi niache kazi bila taarifa Kwa maana SEHEMU nliyoajiriwa ni ngumu Sana kuacha kazi.

Imepita miezi minne Sasa na wameshanitoa kwenye payroll Yao
Je nnaweza nikapata nssf yangu?
Kama jibu ni ndio ni Kwa utaratibu gani?

Je nnaweza nikapata ajira kwngne then nifukuzwe huko ili nipate nssf kupitia huko?
Naomba Msaada wenu wajuzi
Tumia busara kumwaga mwajiri kama ulivyotumia burasa kuomba kazi Hadi akakubali kusaini mkataba
 
What if nkaajiriwa sehem nyngne ....wakaniingizia nssf kama miez minne HV then wakanifire...ntaweza pata au lazima mwajiri wng wa kwnza nae ausike
Kama umeajiriwa kwingineko na alikua anapeleka automatically wa kwanza hatatambulika
 
unemployment benefits moja ya condition uwe umeachishwa kazi na sio umeacha kazi wewe na upewe barua na mwajiri wako,lakini kwa maelezo yako naona huna hicho kigezo
 
Back
Top Bottom