Kuacha kazi una haki vipi unetoroka? Sasa rudi ukaandike barua ya kuacha kazi toja tarehe ulipiachs. Wakijibu huo ndio ushidi hauko kazini.Habari wakuu.
Niliajiriwa kwenye sekta binafsi Kwa takriban miaka Saba. Sasa nmepata fursa ya kujiajiri hivyo ilinibidi niache kazi bila taarifa Kwa maana SEHEMU nliyoajiriwa ni ngumu Sana kuacha kazi.
Imepita miezi minne Sasa na wameshanitoa kwenye payroll Yao
Je nnaweza nikapata nssf yangu?
Kama jibu ni ndio ni Kwa utaratibu gani?
Je nnaweza nikapata ajira kwngne then nifukuzwe huko ili nipate nssf kupitia huko?
Naomba Msaada wenu wajuzi
Hizi anaweza kuchonga na HR akamtoa kiasi kidogoTermination letter
Certificate of service
Last 3 salary slips
Form atakujazia nani..?
Hadi salary slip..?Hizi anaweza kuchonga na HR akamtoa kiasi kidogo
Kuna confirmation itahitajikq toka kwa mwajiri wako wa kwanza ili uweze kusonga mbeleHabari wakuu.
Niliajiriwa kwenye sekta binafsi Kwa takriban miaka Saba. Sasa nmepata fursa ya kujiajiri hivyo ilinibidi niache kazi bila taarifa Kwa maana SEHEMU nliyoajiriwa ni ngumu Sana kuacha kazi.
Imepita miezi minne Sasa na wameshanitoa kwenye payroll Yao
Je nnaweza nikapata nssf yangu?
Kama jibu ni ndio ni Kwa utaratibu gani?
Je nnaweza nikapata ajira kwngne then nifukuzwe huko ili nipate nssf kupitia huko?
Naomba Msaada wenu wajuzi
Hivi hata serikalini mtu anaeza kupata mafao yake akifuata huo utaratibu kabla ya kuacha kazi? Au ni private tuHadi salary slip..?
Kila la kheri
Lakini kwanini usirudi kwa muajiri wako maana termination of contract inaweza kuwa ya pande zote mbili
.
Nenda andika barua na ueleze uliacha lini muachane kwa amani
Unazipataje huna termination letter wala certificate of service?Habari wakuu.
Niliajiriwa kwenye sekta binafsi Kwa takriban miaka Saba. Sasa nmepata fursa ya kujiajiri hivyo ilinibidi niache kazi bila taarifa Kwa maana SEHEMU nliyoajiriwa ni ngumu Sana kuacha kazi.
Imepita miezi minne Sasa na wameshanitoa kwenye payroll Yao
Je nnaweza nikapata nssf yangu?
Kama jibu ni ndio ni Kwa utaratibu gani?
Je nnaweza nikapata ajira kwngne then nifukuzwe huko ili nipate nssf kupitia huko?
Naomba Msaada wenu wajuzi
Mh kwa serikalini nitakudanganyaHivi hata serikalini mtu anaeza kupata mafao yake akifuata huo utaratibu kabla ya kuacha kazi? Au ni private tu
What if nkaajiriwa sehem nyngne ....wakaniingizia nssf kama miez minne HV then wakanifire...ntaweza pata au lazima mwajiri wng wa kwnza nae ausikeSio rahisi, maana wao hutaka
1. Termination letter
2. Certificate of service
Zote hizi ni mwajiri anatoa. Labda HR akuchezeshee kiungwana.
Wakikuta umecha mwenyew mlolongo kidogo
Unapata bila shida yoyote boss! Unaweza Kuja inbox nikusaidie namna ya kupata!Habari wakuu.
Niliajiriwa kwenye sekta binafsi Kwa takriban miaka Saba. Sasa nmepata fursa ya kujiajiri hivyo ilinibidi niache kazi bila taarifa Kwa maana SEHEMU nliyoajiriwa ni ngumu Sana kuacha kazi.
Imepita miezi minne Sasa na wameshanitoa kwenye payroll Yao
Je nnaweza nikapata nssf yangu?
Kama jibu ni ndio ni Kwa utaratibu gani?
Je nnaweza nikapata ajira kwngne then nifukuzwe huko ili nipate nssf kupitia huko?
Naomba Msaada wenu wajuzi
Anapata bila shida yoyote msikariri njia moja mkuu! Zipo njia nyingi za kupata hela ukiwa na namba yako tu unapata bila shida yoyoteHuwezi kupata mafao bila barua ya mwajiri kuonesha umeacha kazi na hiyo barua ni lazima iwe na muhuri wa ofisi pamoja na sahihi ya mwajiri.
siku hizi hivyo vinafanyikia online ambapo ni lazima mwajiri aingie kuidhinisha.
Kazi kwako
NdioUnazipataje huna termination letter wala certificate of service?
Anapata tu bila kwenda huko!!Hadi salary slip..?
Kila la kheri
Lakini kwanini usirudi kwa muajiri wako maana termination of contract inaweza kuwa ya pande zote mbili
.
Nenda andika barua na ueleze uliacha lini muachane kwa amani
Tumia busara kumwaga mwajiri kama ulivyotumia burasa kuomba kazi Hadi akakubali kusaini mkatabaHabari wakuu.
Niliajiriwa kwenye sekta binafsi Kwa takriban miaka Saba. Sasa nmepata fursa ya kujiajiri hivyo ilinibidi niache kazi bila taarifa Kwa maana SEHEMU nliyoajiriwa ni ngumu Sana kuacha kazi.
Imepita miezi minne Sasa na wameshanitoa kwenye payroll Yao
Je nnaweza nikapata nssf yangu?
Kama jibu ni ndio ni Kwa utaratibu gani?
Je nnaweza nikapata ajira kwngne then nifukuzwe huko ili nipate nssf kupitia huko?
Naomba Msaada wenu wajuzi
Mbona una mu avoid muajiri wa kwanza..? Au ulikula mke wake nini ππππWhat if nkaajiriwa sehem nyngne ....wakaniingizia nssf kama miez minne HV then wakanifire...ntaweza pata au lazima mwajiri wng wa kwnza nae ausike
Kama umeajiriwa kwingineko na alikua anapeleka automatically wa kwanza hatatambulikaWhat if nkaajiriwa sehem nyngne ....wakaniingizia nssf kama miez minne HV then wakanifire...ntaweza pata au lazima mwajiri wng wa kwnza nae ausike