Nmeacha kazi bila kumshirikisha mwajiri, Je naweza Kupata NSSF yangu?

Je nnaweza nikapata ajira kwngne then nifukuzwe huko ili nipate nssf kupitia huko?
Naomba Msaada wenu wajuzi
Inawezekana tu mkuu. Wee jikite tu kwenye maombi na mapambio.
 
Vipi mkuu, ulitoboa?

Namimi nina kisa kama hiki. Mzigo wangu upo NSSF unapumua tuu. Nataman niupate niongeze kwenye rotation yangu ya kabiashara kangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…