Nmeibiwa simu, kesi iko mahakamani. Maswali gani ya kumuuliza mtuhumiwa?

Eti huyo ninayemuita mwizi. Kwahiyo nisimuite mwizi nikuite wewe? Ni vile tu mahakamani wanapenda ushahidi hata kama ni uongo
Huna cha maana wewe andaa pesa za kumlipa fidia ya usumbufu na kumdhalilisha uyo unae muita mwizi ili siku nyingine iwe fundisho usikae macho usiku kuangalia mwizi anaiba bila kumchukulia hatua yoyote
yo
 
Kama nitashindwa hamna shida ila Mungu ndiye anayejua. Na atamlipa kwa namna yake.
 
Muulize ameoa? Msalimu kwanza kaka jambazi shkamoo!
 
Kwani nyinyi ni majirani wwe na mwizi wako!!??
 
Una bahati simjui uyo mtu ulie mdhalilisha ila nikimjua naungana nae tunakufilisi na ulivyo njaa kali adi unadai infinix mahakamani
Eti huyo ninayemuita mwizi. Kwahiyo nisimuite mwizi nikuite wewe? Ni vile tu mahakamani wanapenda ushahidi hata kama ni uongo
 
Ukiandikiwa maswali utakariri au utakuwa unasoma mahakamani?
 
Baadhi ya wezi wanaufitalia huu uzi kwa ukaribu wakijiulza inamaana siku hizi hata tuvitu tudogo tunapelekana mahakamani ?
 
Malice presecution ni nini mkuu?
Ni mtu kukushtaki kwa hila tu bila ukweli wowote. Kwa ufupi ni mtu anakutengenezea mashtaka ya kutunga hivyo ikithibitika mashtaka hayana ukweli wowote basi mshtakiwa anafungua kesi ya kudai fidia kwa kusingiziwa mashtaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…