Pagani Zonda
JF-Expert Member
- Aug 10, 2018
- 685
- 468
- Thread starter
- #61
Eti huyo ninayemuita mwizi. Kwahiyo nisimuite mwizi nikuite wewe? Ni vile tu mahakamani wanapenda ushahidi hata kama ni uongo
yoHuna cha maana wewe andaa pesa za kumlipa fidia ya usumbufu na kumdhalilisha uyo unae muita mwizi ili siku nyingine iwe fundisho usikae macho usiku kuangalia mwizi anaiba bila kumchukulia hatua yoyote