EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Humu tu umeshindwa kutushawishi iwapo umeibiwa simu sembuse mahakamani jamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu hili swali kwanzabado anayo?
Wewe kama ulimuona wakati anaichukua ulichukuwa hatua gani ili kumzuia asiondoke nayo?Shahidi ni mimi kama mimi. Ila wapo wengine ambao niliwapa taarifa tu kwamba simu imechukuliwa, ila hawakumuona
1. Kwa upande wangu, kama una risiti ya kuonyesha ulinunua hiyo aina ya simu na namba zake za kuonyesha ni hiyo sawa na hiyo iliyoibiwa na imekutwa na huyo mtu unayedai aliiba, the angalau una mahali pa kuanzia.Wakuu mimi kuna mtu aliniibia simu yangu usiku wa saa tisa nilimuona dirishani(kuna taa imefifia mwanga lakini unaweza kumuona mtu na mlangoni(pale mlangoni kuna ka duara hivi kwahiyo kabla ya kufungua mlango nilimuona na penyewe kuna taa ambayo inamulika vizuri) sasa zikapita siku nikawa namuona sehemu. Ikabidi niende kumshtaki.
Wakauliza anapokaa anasema mtaa ule ule ninaokaa mimi, ila kijana akakataa kata kata kwamba siyo yeye, wakati yeye ndiye niliyemuona ila anabisha. Basi wakasema kesi ipelekwe mahakama. Ndiyo tunasubiria week ijayo.
Vipi ni maswali gani ya kumuuliza mtuhumiwa?
Hiyo sio malicious prosecution kwasababu haukuwa na nia ovu ama ya kumsingizia.Anhaa nmekuelewa. Je kama nmeibiwa kweli alafu ikaenda kujulikana aliyeiba siyo yeye au nmemfananisha, ila nmeibiwa kweli kweli. Hiyo nayo inakuaje?
KITAKURAMBA, una kesi ya kujibu kwa Jamhuri
Usiku wa saa tisa ulikuwa macho unafanya shughuli gani??
Huyo mwizi uliweza kumuona vipi? Je, kama ni wenge la usingizi? Sababu muda huo kibinadamu unakuwa umechoka unahitaji kupumzika…
Tutakuamini vipi km wewe si mmojawapo wa wezi?
Je, ulikabwa au ulivamiwa?
Wakati tukio linatokea mlikuwa wangapi?
Utaweza kuithibitishia vipi mahakama km mtuhumiwa ni yeye??
Ukijibu hayo maswali umeshinda, otherwise samehe saba mara sabini… simu imelala yoooooo.
Wazee wa baraza watakulia hela na kesi utashindwa mapema sana.
Usiku wa saa tisa siyo saa sita.( saa 9 siyo saa 9). Nilikuwa nmelala nikashtushwa na kitu kimenigusa mguuniUnaweza kuileza mahakama muda wa saa 6 usiku ulikuwa macho unafanya nini? Na kama ulimuona mwizi ulichukua hatua gani?
Na kwasababu nilimuona mwizi nilichukua hatua za kumsihi airudishe huku nikijua, kwakuwa nimemuona, angeweza kuirudishaUnaweza kuileza mahakama muda wa saa 6 usiku ulikuwa macho unafanya nini? Na kama ulimuona mwizi ulichukua hatua gani?
Hatukuweza kurecord kwasababu yule kaka anatumia kiswaswadu. Na niseme ukweli hii ya kurecord hata angekuwa na simu kubwa sikuwa na mawazo hayo muda huoKwa hiyo wote hao hata akili ya ku record sauti yake kama ushahidi au kielelezo hamkuwa nayo 🤣🤣❓
Subiri adhabu ya miaka 7. We ukae tayari tu.broo simu ninayo nafidia utanilipa.😕😕
Ndiyo maana unaitwa kaa chini. Ndiyo ukae chini ukitulize usome vizuri polepole bila haraka utaelewa.Wewe mwenyewe umeandika usichokielewa sisi ndio tutakuelewa?
Kwahiyo mimi ataniomba fidia? Hata kama yeye ndiyo kaiba?Huyo hauwezi kumtia hatiani maana hakimu lazima apate ushahidi usio na shaka.
kwa ushahidi wako wakuokoteza🤣🤣🤣camera huna🙂🙂🙂🙂Subiri adhabu ya miaka 7. We ukae tayari tu.
Ni simu ya aina gani?. Ni ya bei gani?. Ungekuwa umecheza pele sana kuja hapa kabla ya kumpeleka polisi. Utapoteza gharama kubwa kuliko hiyo simu.
Unasema ni yeye mwenyewe ulimuona,je kuna mwingine alimuoma? Hakuna. Hiyo haitoshi. Hiyo kesi achana nayo mapema kabla hujafika mbali
Siyo lazima camera. Nimekuona, nmekuona. Kama mahakama itaamua kuitupilia mbali kesi sawa lakini yeye ndiye niliyemuona.kwa ushahidi wako wakuokoteza🤣🤣🤣camera huna🙂🙂🙂🙂
Chukua screen shot hii inaweza kutumika kama ushahidibroo simu ninayo nafidia utanilipa.😕😕