Nmemkuta mke wangu anachorwa tatoo matakoni nyumbani na mwanaume

"Kuchora kuchora kitu gani unaweza kuchora lakini usione ndani"-R.I.P ngwair.

Huu ndio utandawazi..faida na hasara..

Mwanamke huyo bado hajatambua nafasi yake katika ndoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole kaka najua nn maana ya kupenda na maumivu yake kwa ujumla. Piga chini huyu si mke ni gold digger atakusumbua sana. Nashauri kimbia sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hali za watoto wa kike wa vyuoni vilivyokuwa wazi nawe kwa nyege zako za vitunguu swaumu ukaingia kichwa kichwa shumbamiti hapa ya mbele alikuwa kamaliza punde tu b4 ya nyuma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkeo atapendeza huyu! Acha wivu mkuu..
 

Attachments

  • download-1.jpg
    8.5 KB · Views: 27
Ningehakikisha kuwa kweli wewe ni mwalimu huko UDOM ningehamisha mdogo wangu huko wallahi tena. Sio akili za academician hizi, yaani hafahamu namna ya kutatua changamoto zake mwenyewe hadi aanike aibu zake hadharani. Kama ni kweli basi ndio maana wahitimu wanakuwa watupu vichwani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kufa tu boya wewe
 
Mkuu kila mtu huitaji nafasi yapili ,, ila Kwa Huyo mwanamke embu onyesha ur manhood ,kua mkali ..mstar waheshima kwako nilazima siku zote uwepo ........naizo tabia zake hata kukusaliti anakusaliti tuuuu ...

Kwaufupi kama nimimi ningekua nmeshamrudisha kwao aende akakue kwanza !!.
 
acha povu, "pambana na hali yako"


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukimuoa mwanafunzi wa chuo(baadhi) ujue hiyo sio ndoa bali ni RESCUE MISSION ... Kwa sababu keshaolewa na wanafunzi wenzake na kuachika mara kibao...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…