Nmemkuta mke wangu anachorwa tatoo matakoni nyumbani na mwanaume

Nmemkuta mke wangu anachorwa tatoo matakoni nyumbani na mwanaume

Joined
May 4, 2017
Posts
78
Reaction score
46
“Nimemkuta mke wangu AKICHORWA Tatoo ya TAKO Chumbani kwangu
Naitwa John ni mfanyakazi wa chuo Kikuu cha Udom, nimeoa mwaka jana tu na mke wangu alikuwa ni mwanafunzi wangu, tulianza mahusiano akiwa hapa chuo mie nikiwa mwalimu wake na yeye akiwa mwanafunzi mwaka 2014.

Baada ya kumaliza niliamua kumuoa, lakn baada ya kumuoa kuna vijitabia fulani amekuwa akinionyesha ambavyo sivipendi sana, amekuwa akinidharau na kutoka bila hata kuniaga, hivi majuzi nilisafiri kikazi lakini nikapata dharura nikarudi nyumbani ghafla, nilichokikuta MUNGU ndio anajua “Nilimkuta Mwanaume Chumbani kwangu AKIMCHORA TATTOO KWENYE MATAKO” Nilishikwa na butwaa lakini yeye akaonyesha kutojali kitu na akaniambia niache ushamba, ameamua Kumleta Hapo nyumbani kwani ni Sehemu Salama Zaidi.

Nishaurini wadau, Nifanyeje maana Huyu Mwanamke Ataniua na Presha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..tulianza mahusiano akiwa hapa chuo mie nikiwa mwalimu wake na yeye akiwa mwanafunzi mwaka 2014.

Pole sana mkuu. Nyota njema/mbovu huonekana asubuhi mkuu. Fanya maamuzi magumu kabla huyo mwanafunzi wako hajakuzika, not only kwa pressure, bali pia kwa kale kaugonjwa ambako Mhenga Alhaji Alli Hassan Mwinyi alisema kameangukia sehemu mbaya sana
 
sasa kila kitu lazima mlete humu JF kutaka ushauri?

yaani hiki kizazi bhana!!

ety mkewe anachorwa tatoo matakoni alafu hajui cha kufanya.

ok ngoja tukupe ushauri: na wewe chora tatoo hapo matakoni ili umkomoe.
Story kama hz hazina uhalisia wowote...ukitizama tu story ilivyoanza
 
“Nimemkuta Mke Wangu AKICHORWA Tatoo ya TAKO Chumbani kwangu
Naitwa John ni mfanyakazi wa chuo Kikuu cha Udom, nimeoa mwaka jana tu na mke wangu alikuwa ni mwanafunzi wangu, tulianza mahusiano akiwa hapa chuo mie nikiwa mwalimu wake na yeye akiwa mwanafunzi mwaka 2014.
Baada ya kumaliza niliamua kumuoa, lakn baada ya kumuoa kuna vijitabia fulani amekuwa akinionyesha ambavyo sivipendi sana, amekuwa akinidharau na kutoka bila hata kuniaga, hivi majuzi nilisafiri kikazi lakini nikapata dharura nikarudi nyumbani ghafla, nilichokikuta MUNGU ndio anajua “Nilimkuta Mwanaume Chumbani kwangu AKIMCHORA TATTOO KWENYE MATAKO” Nilishikwa na butwaa lakini yeye akaonyesha kutojali kitu na akaniambia niache ushamba, ameamua Kumleta Hapo nyumbani kwani ni Sehemu Salama Zaidi.

Nishaurini wadau, Nifanyeje maana Huyu Mwanamke Ataniua na Presha

Sent using Jamii Forums mobile app

Hivi kweli wewe ni mwalimu??!!! Basi siku hizi chuoni kuna shida kubwa yaani unaleta malalamiko yako ya nyumbani JF??
 
Huyo mkeo mnamchangia na huyo mchora tattoo mkuu.
Kama unaweza kumvumilia endelea nae lakini mimi ningelikua nimeshamtimua siku nyingi kabla haja ni dharirisha namna hiyo mkuu.

mafisadi hayana chama
 
Hii akiri ya kijinga sana, kila kitu mnaomba ushauri humu. Unataka uambiwe nn?
Hii inaonesha watu wengi hatuna maamzi binafsi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom