She Quoted you
JF-Expert Member
- Oct 19, 2020
- 687
- 1,184
SawaUshauri wangu wahi hospitali afya ya akili inatibika kama ukiwahi vinginevyo ukikutana na jalala tu imetoka hiyo
Sawa nn?Sawa
Wanakuja kukupa ushauri mkuu..Sawa nn?
Kwann?walikosea sana kukupa M10
Nini Cha ajabu hapo mpaka ushangae?Hadithi za Esopo.
Nini Cha ajabu hapo mpaka ushangae?
Asante, but ushauri wako n wa muhim sanHongera
uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sanaKwann?
Makin money is easy, keeping it or multiplying it... that's the hard partDah, mil10 Hzo nlitakiwa nilipwe kabisa Mimi professa.
ila Hawa wajinga wananilipa vihela vya mboga tu
Kwanini?uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana
Mimi professa Wewe, siwez kushindwa vitu vidogo ka ivoMakin money is easy, keeping it or multiplying it... that's the hard part
Ni kazi gani kwanza na profession yako ni ipiHello,
Jamani mdgo wenu nilipata ajira ya million I0 kwa mwezi nikaichezea mpaka Contract inaisha hamna Cha maana nilichofanya.
Wengi mlinisimanga sana humu.
Lakini Sasa nimejiunza, na kwa bahati nzuri nmepata kazi nyingine ambayo take home itakuwa 1.3M
Najua itakuwa ngumu maana nilikuwa nishazoea kuspend at least mil5 kwa mwezi kama matumizi ...ulitabidi nijiadjust.
Naombeni round hii wanaJf msinibanie, mdogo wenu mnihurumie mnipe maushauri ya maana.
Naombeni mipango Nifanyeje ili nisije kurudi Tena kwenye umasikini?