Nmepata kazi nyingine, mshahara mdogo. Nipeni ushauri jinsi ya kuadjust lifestyle

Hello,
Jamani mdgo wenu nilipata ajira ya million I0 kwa mwezi nikaichezea mpaka Contract inaisha hamna Cha maana nilichofanya.
Wengi mlinisimanga sana humu.

Lakini Sasa nimejiunza, na kwa bahati nzuri nmepata kazi nyingine ambayo take home itakuwa 1.3M
Najua itakuwa ngumu maana nilikuwa nishazoea kuspend at least mil5 kwa mwezi kama matumizi ...ulitabidi nijiadjust.

Naombeni round hii wanaJf msinibanie, mdogo wenu mnihurumie mnipe maushauri ya maana.
Naombeni mipango Nifanyeje ili nisije kurudi Tena kwenye umasikini?
We mtoto msumbufu sana. Unaujua mshahara wa suma jkt wewe?
 
Hello,
Jamani mdgo wenu nilipata ajira ya million I0 kwa mwezi nikaichezea mpaka Contract inaisha hamna Cha maana nilichofanya.
Wengi mlinisimanga sana humu.

Lakini Sasa nimejiunza, na kwa bahati nzuri nmepata kazi nyingine ambayo take home itakuwa 1.3M
Najua itakuwa ngumu maana nilikuwa nishazoea kuspend at least mil5 kwa mwezi kama matumizi ...ulitabidi nijiadjust.

Naombeni round hii wanaJf msinibanie, mdogo wenu mnihurumie mnipe maushauri ya maana.
Naombeni mipango Nifanyeje ili nisije kurudi Tena kwenye umasikini?
Huo ni mshahara mzuri sana kama utauheshimu ? Hamna pesa kubwa Wala ndogo inategemea utainvest vp? But all in all kurudi kwenye umasikin kwa mshahara huo ni uzembe wa kufikiri.
 
Hello,
Jamani mdgo wenu nilipata ajira ya million I0 kwa mwezi nikaichezea mpaka Contract inaisha hamna Cha maana nilichofanya.
Wengi mlinisimanga sana humu.

Lakini Sasa nimejiunza, na kwa bahati nzuri nmepata kazi nyingine ambayo take home itakuwa 1.3M
Najua itakuwa ngumu maana nilikuwa nishazoea kuspend at least mil5 kwa mwezi kama matumizi ...ulitabidi nijiadjust.

Naombeni round hii wanaJf msinibanie, mdogo wenu mnihurumie mnipe maushauri ya maana.
Naombeni mipango Nifanyeje ili nisije kurudi Tena kwenye umasikini?
Kama masimango uliyopewa hayakukusaidia, basi hausaidiki.
 
Hello,
Jamani mdgo wenu nilipata ajira ya million I0 kwa mwezi nikaichezea mpaka Contract inaisha hamna Cha maana nilichofanya.
Wengi mlinisimanga sana humu.

Lakini Sasa nimejiunza, na kwa bahati nzuri nmepata kazi nyingine ambayo take home itakuwa 1.3M
Najua itakuwa ngumu maana nilikuwa nishazoea kuspend at least mil5 kwa mwezi kama matumizi ...ulitabidi nijiadjust.

Naombeni round hii wanaJf msinibanie, mdogo wenu mnihurumie mnipe maushauri ya maana.
Naombeni mipango Nifanyeje ili nisije kurudi Tena kwenye umasikini?
Amka wewe ukakate majani ya ng'ombe shemeji atakufukuza hapo
 
Hello,
Jamani mdgo wenu nilipata ajira ya million I0 kwa mwezi nikaichezea mpaka Contract inaisha hamna Cha maana nilichofanya.
Wengi mlinisimanga sana humu.

Lakini Sasa nimejiunza, na kwa bahati nzuri nmepata kazi nyingine ambayo take home itakuwa 1.3M
Najua itakuwa ngumu maana nilikuwa nishazoea kuspend at least mil5 kwa mwezi kama matumizi ...ulitabidi nijiadjust.

Naombeni round hii wanaJf msinibanie, mdogo wenu mnihurumie mnipe maushauri ya maana.
Naombeni mipango Nifanyeje ili nisije kurudi Tena kwenye umasikini?

Hebu fanya kama unaniconect nipate hata office attendant kwa hio ofisii ili nikupe ushauri face to face.
 
Back
Top Bottom