Nmvua baba v uenyekiti wa chit chat !!!!hata kama wengi wenu mmekuwa vipofu!!

Nivea

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2012
Posts
7,460
Reaction score
4,771
Wasaalam
Habari za madakika wana cc najua wengine mnapumulia mashine kwa upepo mchafu uliopita muda sio mrefu!!
mimi kama mwana CC nasikitishwa na utendaji kazi wa mwenyekiti ,huyu
Baba V ameshindwa kutoa kauli kuhusu kimbunga na upepo uliopita cc uliopelekea watu kadhaa kufa na wenguine kujeruhiwa mioyo sasa basi kulingana na katiba ya CC na madaraka tuliyomkabidhi na akadiriki kuwa kimya mpaka sasa nafikiri huyu mwenyekiti hatufai kabisa ni sawa na baba aliyesikia mwiziiiiiiii akakimbilia darini nakuiacha familia chini !!!sasa basi mimi binafsi na nafsi yangu namvua huyu mwenyekiti wa cc na simtambui tena

cc
Baba V

TUPENDEKEZE NA TUPIGE KURA KUPATA MWENYEKITI MPYA

Watakao endelea kumkubali hao ni wale walioohonga kupata KE /ME
sintakawia kumrepot abuse mtu akileta zilipendwa hapa -strictly prohibited
NAWASILISHA
Baba V ni wakati wa kuwa kama rais wa Misri umeshindwa kuwadhibiti wanaoingilia ndoa za wenzao
 
Alishapinduliwa na manoah na katiba mpya ya CC inaruhusu iwapo mwenyekiti asipoweza kufanya majukumu yake ya kiutendaji,basi uchaguzi utaitishwa upya.na mkuu wa majeshi CC sosoliso inabidi atangaze mapinduzi kama ya egypt na wenye nia ya nafasi ya uenyekiti walete majina yao mapema
 
Last edited by a moderator:
Hivi eeh! Muda si muda mtaleta ya pm hapa!
 
Tunasubiri majiana manoah mwenyewe sioni kama yupo hai ,lete majina
note:nabakia kuwa mweka hazina wa cc (hii nasafi haigombewi)
 
Kamati zote zinavunjwa na nafasi zilizo wazi ni
1)mwenyekiti wa CC (1)
2)wajumbe wa kamati ya mahusiano CC (2)
3)mweka hazina (atabaki yuleyule Nivea )
4)kamati ya nidhamu (2)

Naunga mkono hoja asilimia elfu moja!!
 
Last edited by a moderator:
kamati zote zinavunjwa na nafasi zilizo wazi ni
1)mwenyekiti wa cc (1)
2)wajumbe wa kamati ya mahusiano cc (2)
3)mweka hazina (atabaki yuleyule nivea )
4)kamati ya nidhamu (2)

yani nnauchungu wa kutohidhinishiwa ndoa yangu ujue! Naomba no 2 ituhusu mimi na best yangu lady doctor
 
Last edited by a moderator:
saudari nasubiria fomu ya mpiga picha wa CC.

Mtanichagua wajameni?
 
Last edited by a moderator:
pendekezeni majina jamani tupige kura uchaguzi huu unasimamiwa na sosoliso na his wife Paloma na jeshi lao red blabla
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…