No Annual Increments, No salary increase. Mama kama baba

Black Legend

Senior Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
174
Reaction score
301
Nawaza kwa sauti....mabenki yamepandisha riba za mikopo, mafuta yamepanda, bidhaa za muhimu zote zimepanda lakini mishahara haijaongezwa. Si ongezeko la mwaka Wala marekebisho ya asilimia.

Je ni kuwa "like mother like father"..... TANZANIA NI NGUMU SAAANA.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Nawaza kwa sauti....mabenki yamepandisha riba za mikopo, mafuta yamepanda....bidhaa za muhimu zote zimepanda...lakini mishahara haijaongezwa. Si ongezeko la mwaka Wala marekebisho ya asilimia.

Je ni kuwa "like mother like father"..... TANZANIA NI NGUMU SAAANA.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
nyie mlioko kwenye ajira serikalini mnalalamika sana, dalili nyingine ya umasikini ni kulalamika, Mama vitu vingine tutamsema vibaya lakini anajitahidi sana, saizi katoa ajira za kutosha, usipo shukuru kwa hicho kidogo hata vingine hutaweza kushukuru, Ninyi waajiriwa acheni ubinafsi, "Toshekeni na mishahara yenu"
 
Kudai HAKI sio Dhambi....dhambi ni kutokujua HAKI zako.
 
nyie mlioko kwenye ajira serikalini mnalalamika sana, dalili nyingine ya umasikini ni kulalamika, Mama vitu vingine tutamsema vibaya lakini anajitahidi sana, saizi katoa ajira za kutosha, usipo shukuru kwa hicho kidogo hata vingine hutaweza kushukuru, Ninyi waajiriwa acheni ubinafsi, "Toshekeni na mishahara yenu"
Kuwa kwenye ajira serikalini sio sababu ya kutokudai HAKI zako za msingi. Kukosa kwako ajira hakuzuii walioko kwenye ajira kupaza sauti kudai HAKI zao.
 
endelea kubwabwaja mei mosi utaongezewa 20k, hapo nadhani hadi meno yatatokwa jasho, kaa ukijua mshahara hauwezi kukufanya kujitenga na umasikini.
 
Una hasira kijana, pambana na hayo maisha Yako....JF ni Free ground for idealists.....so kama huna ajira pambana uyapate maisha unayoyahitaji๐Ÿ˜„๐Ÿ˜€
 
Nawaza kwa sauti....mabenki yamepandisha riba za mikopo, mafuta yamepanda, bidhaa za muhimu zote zimepanda lakini mishahara haijaongezwa. Si ongezeko la mwaka Wala marekebisho ya asilimia.

Je ni kuwa "like mother like father"..... TANZANIA NI NGUMU SAAANA.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Japo ni kweli like mother like father, ila maza ni tofauti, ongezo lipo limechelewa kuingizwa litaingizwa September hii or October with arrears.
Usiwe na wasiwasi, nani kama Mama?.
P
 
Nawaza kwa sauti....mabenki yamepandisha riba za mikopo, mafuta yamepanda, bidhaa za muhimu zote zimepanda lakini mishahara haijaongezwa. Si ongezeko la mwaka Wala marekebisho ya asilimia.

Je ni kuwa "like mother like father"..... TANZANIA NI NGUMU SAAANA.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
4R- rebuild
 
Back
Top Bottom