No Annual Increments, No salary increase. Mama kama baba

No Annual Increments, No salary increase. Mama kama baba

Japo ni kweli like mother like father, ila maza ni tofauti, ongezo lipo limechelewa kuingizwa litaingizwa September hii or October with arrears.
Usiwe na wasiwasi, nani kama Mama?.
P
We ndo semaji la serikali? Au semaji la sa100?
Nilini hii nchi watu watajua haki za watu nimuhimu kuliko siasa zahovyo,na uroho wa madaraka...
Haki ilocheleweshwa ni haki ilonyimwa. Serikali inafanya kazi Kwa barua Sasa tuoneshe iyo barua yenye maelezo Yako ama tukuite kama Chawa wamazer (uchawa mwisho miaka 40).
Kiufupi unatibiwa na madokta wanaonyimwa haki,watoto wanafundishwa na walimu wanyonge walonyimwa haki,wakezetu wanazalishwa na manesi wanaodhulumiwa nk. nk.
This Country is SICK!!!
 
Serious sick bro....mother anazingua pakubwa...anaweka nguvu kubwa kwenye ku silence watu wanaoonesha udhaifu wa uongozi wake.... pathetic 🤮
 
Subira yavuta kheri, endeleeni kusubiria, sura ndio ile R ya Resilience kwenye 4R. Endeleeni kuwa wavumilivu, mwenye pupa hadiriki kula tamu wakati mvumilivu hula mbivu.
P
Utawala wa Sheria hii nchi haujawahi kuwa Salama, ukiachilia ongezeko la mishahara kuzingatia ukuaji wa uchumi, ANNUAL INCREMENT ni takwa la kisheria na si UTASHI wa Rais wa nchi...yaani Kila kukicha wanatumia ofisi(presidency) kwa matakwa yao binafsi na familia zao, wavuja Jasho wa nchi hii wanataabika kutoa huduma huko maeneo ya kazi. PATHETIC.
 
Utawala wa Sheria hii nchi haujawahi kuwa Salama, ukiachilia ongezeko la mishahara kuzingatia ukuaji wa uchumi, ANNUAL INCREMENT ni takwa la kisheria na si UTASHI wa Rais wa nchi...
Sio jana wala sio leo, rights zimegeuzwa kuwa favours, yaani haki ni hisani!. Kwa vile haya mambo yalianzishwa na JPM na mlinyamaza, huyu Maza msimuonee, endeleeni kusubiria huku mmenyamaza!.
P
 
Sio jana wala sio leo, rights zimegeuzwa kuwa favours, yaani haki ni hisani!. Kwa vile haya mambo yalianzishwa na JPM na mlinyamaza, huyu Maza msimuonee, endeleeni kusubiria huku mmenyamaza!.
P
Hakuna aliekaa kimya ndio maana MAUAJI yalikuwa mengi....na Sasa pia MAUAJI yameendelea kuwepo...just to shut down those who speak out. Yaani kifupi huyu mama amekuwa anaelekea kuwa as Magufuli been.
 
Back
Top Bottom