No Annual Increments, No salary increase. Mama kama baba

No Annual Increments, No salary increase. Mama kama baba

Japo ni kweli like mother like father, ila maza ni tofauti, ongezo lipo limechelewa kuingizwa litaingizwa September hii or October with arrears.
Usiwe na wasiwasi, nani kama Mama?.
P
Kaka Mayalla, comrade katika harakati za " Nyeupe ni nyeupe, na nyeusi ni nyeusi"...mama ana utofauti mdogo saana na baba; HAKI KATIKA UTUMISHI HAIFICHWI......just imagine, mabenki yanapandosha interest Kila kukicha, bidhaa muhimu kama petrol na Diesel ⛽ zinapana Kila kukicha,,,,,why nyongeza za mishahara imekuwa issue ya kusubirisha saana Kila mwaka? Now ni mwaka wa 7 na tunaingia wa 8 hakuna nyongeza ya mishahara.....MAMA NI KAMA BABA..... MWIGULU akituhimiza tuhamie Burundi 😄🇹🇿
 
TUKTA viongozi wake wanakula vya sirini, hawajawa na muda na kudai HAKI za watumishi. Wanasubiri MEI MOSI waandike na kusoma RISALA ZA ULAGHAI kisha maisha yanaendelea.🤔😁N
Wamejiongezea mishahara hawana time na washamba wanaochangia , mwisho wa siku wanapewa T-shirt za mei mosi basi .

Vyama vya wafanyakzi asili yake ni ubepari huko Amerika kuendelea kuzitukuza ni kutukuza ukoloni . Mishahara ni kazi ya viongozi na HR ndio wanashughulikia malalamiko sio hivyo vyama.
 
Nawaza kwa sauti....mabenki yamepandisha riba za mikopo, mafuta yamepanda, bidhaa za muhimu zote zimepanda lakini mishahara haijaongezwa. Si ongezeko la mwaka Wala marekebisho ya asilimia.

Je ni kuwa "like mother like father"..... TANZANIA NI NGUMU SAAANA.😂😂😂😂😂
Mama anaupiga mwingi
 
TUKTA viongozi wake wanakula vya sirini, hawajawa na muda na kudai HAKI za watumishi. Wanasubiri MEI MOSI waandike na kusoma RISALA ZA ULAGHAI kisha maisha yanaendelea.🤔😁
Hilo ni tawi kuu la CCM, watumishi ni wapumbavu sn, unakatwa pesa mwisho wa siku unapewa tshirt na kofia mwaka mzima umekatwa zaidi ya lakini 6?
 
Kwa maslahi ya watumishi hakuna Kama Mama na haji kutokea. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

Mama anapandisha madaraja Instantly na on time.

Madhaifu madogomadogo hayo yatarekebishika.

Uliza Kama Kuna mtumishi yeyote anadai daraja.
Wapo wengi tuu, je kudai nyongeza sio HAKI ya Msingi ya mtumishi? LEGACY YA UTUMWA BADO IPO KATIKA MAISHA YETU.......HAYA HAKI ZETU ZINAONEKANA NI FAVOR KWA VIONGOZI.....HURUMA SAAANA WITH THIS DARK-MINDEDNESS.....
 
Screenshot_20240831-223801~2.png
 
Back
Top Bottom