Black Legend
Senior Member
- Jul 28, 2015
- 174
- 301
nyie mlioko kwenye ajira serikalini mnalalamika sana, dalili nyingine ya umasikini ni kulalamika, Mama vitu vingine tutamsema vibaya lakini anajitahidi sana, saizi katoa ajira za kutosha, usipo shukuru kwa hicho kidogo hata vingine hutaweza kushukuru, Ninyi waajiriwa acheni ubinafsi, "Toshekeni na mishahara yenu"Nawaza kwa sauti....mabenki yamepandisha riba za mikopo, mafuta yamepanda....bidhaa za muhimu zote zimepanda...lakini mishahara haijaongezwa. Si ongezeko la mwaka Wala marekebisho ya asilimia.
Je ni kuwa "like mother like father"..... TANZANIA NI NGUMU SAAANA.πππππ
Kudai HAKI sio Dhambi....dhambi ni kutokujua HAKI zako.nyie mlioko kwenye ajira serikalini mnalalamika sana, dalili nyingine ya umasikini ni kulalamika, Mama vitu vingine tutamsema vibaya lakini anajitahidi sana, saizi katoa ajira za kutosha, usipo shukuru kwa hicho kidogo hata vingine hutaweza kushukuru, Ninyi waajiriwa acheni ubinafsi, "Toshekeni na mishahara yenu"
Kuwa kwenye ajira serikalini sio sababu ya kutokudai HAKI zako za msingi. Kukosa kwako ajira hakuzuii walioko kwenye ajira kupaza sauti kudai HAKI zao.nyie mlioko kwenye ajira serikalini mnalalamika sana, dalili nyingine ya umasikini ni kulalamika, Mama vitu vingine tutamsema vibaya lakini anajitahidi sana, saizi katoa ajira za kutosha, usipo shukuru kwa hicho kidogo hata vingine hutaweza kushukuru, Ninyi waajiriwa acheni ubinafsi, "Toshekeni na mishahara yenu"
endelea kubwabwaja mei mosi utaongezewa 20k, hapo nadhani hadi meno yatatokwa jasho, kaa ukijua mshahara hauwezi kukufanya kujitenga na umasikini.Kuwa kwenye ajira serikalini sio sababu ya kutokudai HAKI zako za msingi. Kukosa kwako ajira hakuzuii walioko kwenye ajira kupaza sauti kudai HAKI zao.
Uongo huoMajeshi yote yameongezewa
Una hasira kijana, pambana na hayo maisha Yako....JF ni Free ground for idealists.....so kama huna ajira pambana uyapate maisha unayoyahitajiππendelea kubwabwaja mei mosi utaongezewa 20k, hapo nadhani hadi meno yatatokwa jasho, kaa ukijua mshahara hauwezi kukufanya kujitenga na umasikini.
Inachosha kwa kweliSubirini Mei Mosi nyingine mupigwe fix
Upo jeshini?Uongo huo
Japo ni kweli like mother like father, ila maza ni tofauti, ongezo lipo limechelewa kuingizwa litaingizwa September hii or October with arrears.Nawaza kwa sauti....mabenki yamepandisha riba za mikopo, mafuta yamepanda, bidhaa za muhimu zote zimepanda lakini mishahara haijaongezwa. Si ongezeko la mwaka Wala marekebisho ya asilimia.
Je ni kuwa "like mother like father"..... TANZANIA NI NGUMU SAAANA.πππππ
4R- rebuildNawaza kwa sauti....mabenki yamepandisha riba za mikopo, mafuta yamepanda, bidhaa za muhimu zote zimepanda lakini mishahara haijaongezwa. Si ongezeko la mwaka Wala marekebisho ya asilimia.
Je ni kuwa "like mother like father"..... TANZANIA NI NGUMU SAAANA.πππππ
Una uhakika au ni propaganda tu?Japo ni kweli like mother like father, ila maza ni tofauti, ongezo lipo limechelewa kuingizwa litaingizwa September hii or October with arrears.
Usiwe na wasiwasi, nani kama Mama?.
P
Alisema ataongeza kimya kimya, usiwe na wasiwasi kabisa na Mama, nani kama Mama?Una uhakika au ni propaganda tu?
Umerudi kwenye nafasi ako ya uchawa? we ni KM wa utumishi?Japo ni kweli like mother like father, ila maza ni tofauti, ongezo lipo limechelewa kuingizwa litaingizwa September hii or October with arrears.
Usiwe na wasiwasi, nani kama Mama?.
P