No doubt!: Kwa yaliyomtoka jana ni muendelezo wa kuwapa point tatu washindani wake kisiasa.

No doubt!: Kwa yaliyomtoka jana ni muendelezo wa kuwapa point tatu washindani wake kisiasa.

Wasalaam,


Wahenga hunena "Kimtokacho mtu kinywani ndicho kiujazacho moyo wake"

kwa maneno yake ya jana kwa mtu mwenye kufanya tafakuri basi ni dhahiri shahiri yale wasemayo watu yana ukweli ndani yake, hata kwa sisi tuliokuwa tunampa benefit of the doubts basi ameprove na kutudhihirishia kuwa bado ana excessive self-doubt, low self-esteem, insecurity hizi zote ni sifa za Inferiority complex, amewapa wapinzani wake wa ndani na nje ya chama kuwa they can play her mind na akaingia kwenye 18.

According to the American Psychological Association, an inferiority complex is characterized by constant feelings of inadequacy or insecurity in your daily life due to a belief that you are physically or mentally inferior to others, whether such a belief is based on a rational assessment or not.

Kwa tafsiri ya moja kwa moja inferiority complex ni tatizo linahusisha hisia za mara kwa mara za kutostahili au kutojiamini katika maisha yako ya kila siku kwa sababu ya imani kwamba wewe ni duni kimwili au kiakili kuliko wengine, iwe imani hiyo inategemea tathmini ya kimantiki au la.

Nadhani wasaidizi wake wangefocus zaidi kwenye kumjenga kisaikolojia, uwezo anao, aache kupelekeshwa kihisia na afocus kwenye kuijenga nchi, aliyoyasema jana ni muendelezo wa ngonjera, taarabu na maneno ya kwenye kanga, watanganyika tunahitaji vitendo na si maneno, watanganyika tunahitaji maendeleo na sio mipasho.


Wasalaam,

"Everything is possible for those who believe" lets meet at the top, cheers 🥂.

Mla bata

München, Deutschland 🇩🇪.
Yani yule mpumbavu ndiyo unapoteza muda wako kumzungumzia hivi .. au ulikuwa una u underestimate upumbsvu wake 😁
 
Yani yule mpumbavu ndiyo unapoteza muda wako kumzungumzia hivi .. au ulikuwa una u underestimate upumbsvu wake 😁
Kuna vitu vinafikirisha sana, mtu mzima kama yule kuzungumza mambo ya kitoto kama yale, mpaka unashangaa kama nchi tumefikaje fikaje hapa.
 
USAID wafadhili wale wamepigwa chini na Trump.

Kuna kauli zingine hazifai kabisa
Yaani nimesikia nyingi tu duniani kwa siku 2 hizi
 
Kuna vitu vinafikirisha sana, mtu mzima kama yule kuzungumza mambo ya kitoto kama yale, mpaka unashangaa kama nchi tumefikaje fikaje hapa.
Mfumo wa siasa wa kuruhusu wanasiasa kuwa wapiga kura wa chaguzi kuu ndiyo unasababisha siasa kuwa na kila mzoga muovu na wapumbavu wengi ....wanasiasa inatakiwa kuwa wachache tu na kuwe na reseni ya kuwa mwanasiasa itakayo lipiwa pesa kila baada ya miaka mi 5 japo sh mil 2 na wenye hiyo reseni wawe na strong citizen ...yaani Raia wa daraja la kwanza hili kuepuka makanyanga yenye uraia feki wa kimasrai.
Tanzania tunatakiwa kuwa na daraja 3 za uraia
 
Back
Top Bottom