No matter how lonely you feel, never get married. Never ever!!

Tusisikilize walimwengu hawana wema

Hawana wema hao

Tupatapo neno tulichuje lililo jeema liwe letuuu mpenzi wangu nakupentaaaaa

Kuoa ni muhimu ikiwa upo tiyar kwa ndoa na sio vinginevy yakizdi sio lazima unaweza tua mzigo!
Kaoe ila utayakumbuka maneno ya kataa ndoa๐Ÿค—

Ndoa ziliishia karne ya 19.Hii karne wanazaliwa maroboti ambao hayajawa programmed to be wifed but wapo wafaidike na privilage zitokanazo na Ndoa....mark this words u will remember them one time in your life time!!!
 
Kataa ndoa ni kama hamasi wa kule Gaza u will fight them but u cant finish them.

KATAA NDOA,NI WITO NA MITUME WAKE TUPO NA WATAENDELEA KUZALIWA NA KUZALIWA YOU WONT BELIEVE IT BUT THATS THE TRUHT!!!
Hahahaa daahh sijaoa lakini siamini kwamba hizi ndoa zina hasaraa tuu na hakuna faida kabisa
 
Insha'Allah nitaoa na utakuwepo kushuhudia Hilo
 
Sitetei uzinzi nipo kwenye mfungo

Ila Raha ya ndoa ni two imperfections wanapokutana nakubadilisha imperfections zao kuwa perfection



Loneliness kills
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ