No matter how lonely you feel, never get married. Never ever!!

No matter how lonely you feel, never get married. Never ever!!

Tusisikilize walimwengu hawana wema

Hawana wema hao

Tupatapo neno tulichuje lililo jeema liwe letuuu mpenzi wangu nakupentaaaaa

Kuoa ni muhimu ikiwa upo tiyar kwa ndoa na sio vinginevy yakizdi sio lazima unaweza tua mzigo!
Kaoe ila utayakumbuka maneno ya kataa ndoa🤗

Ndoa ziliishia karne ya 19.Hii karne wanazaliwa maroboti ambao hayajawa programmed to be wifed but wapo wafaidike na privilage zitokanazo na Ndoa....mark this words u will remember them one time in your life time!!!
 
Kataa ndoa ni kama hamasi wa kule Gaza u will fight them but u cant finish them.

KATAA NDOA,NI WITO NA MITUME WAKE TUPO NA WATAENDELEA KUZALIWA NA KUZALIWA YOU WONT BELIEVE IT BUT THATS THE TRUHT!!!
Hahahaa daahh sijaoa lakini siamini kwamba hizi ndoa zina hasaraa tuu na hakuna faida kabisa
 
Kaoe ila utayakumbuka maneno ya kataa ndoa🤗

Ndoa ziliishia karne ya 19.Hii karne wanazaliwa maroboti ambao hayajawq programmed to be wifed but wapo wafaidike na privilage zitokanazo na Ndoa....mark this words u will remember them one time in your life time!!!
Insha'Allah nitaoa na utakuwepo kushuhudia Hilo
 
Mwanaume kama unajitambua usioe.Kataa ndoa tunakusanua kimbia usioe.Ni mara elfu saba mara sabini uzalishe utunze ila kamwe usioeeeeeeee!!!!!

Usioe mwanamke aliyesoma,kimbia usioe utajuta.Wenzako wameo kwa kujifanya much know saivi wapo wanashinda baa na vijiwe vya kahawa nyumba zao hazikaliki hazilaliki.Wananyimwa mbususu wanakazi ya kubembeleza na kuomba kila iitwapo leo wanaomba kula mbususu.Mwanaume/kijana kimbia usikubali kuingia kwenye huo mtego.Ndoa ni utapeli.

Kama hamuamini muulizeni Ki- Awadhi.

📌📌📌KATAA NDOA,NDOA NI UTAPELI!!!
Sitetei uzinzi nipo kwenye mfungo

Ila Raha ya ndoa ni two imperfections wanapokutana nakubadilisha imperfections zao kuwa perfection



Loneliness kills
 
Back
Top Bottom